miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Huyu ni mburasi. Full stop.Huyo jamaa ujinga na ushabikie unsomsumbua hakuna mtu anayepinga jack asipewe urithi Ila swala la kutaka asilimia zote ndo watu wanachopinga na matamanio ya kutaka asilimia zote ndo yanaraise question [emoji780][emoji780][emoji780]