Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Huyo jamaa ujinga na ushabikie unsomsumbua hakuna mtu anayepinga jack asipewe urithi Ila swala la kutaka asilimia zote ndo watu wanachopinga na matamanio ya kutaka asilimia zote ndo yanaraise question [emoji780][emoji780][emoji780]
Huyu ni mburasi. Full stop.
 
wewe na mumeo watoto wenu mmeshawapa % zao?.
sema tu mzee alikuwa anaburuzwa na mkewe mkubwa alimuwahi.
Ilitakiwa wagawane 50% kwa 50%.
Hawa watoto watakuja kurithi wao wakifa.sio wao wapo hai wanawagawia watoto %.
hapa mzee mengi alijikoroga.
Ndo maana akaja kuandika wosia wa BUKU BUKU
 
Mimi mwenzako uwa NINA AKILI HURU.
Kanuni ya maisha yangu.MIMI SIKO SAHIHI WALA WEWE HAUKO SAHIHI.
umeona wapi watoto wanapewa mgawo wazazi wakiachana?na bado hawajafa?
Swali unajua rulling ya mahakama we nenda kamsaidie na mpe hizi hoja zako ili akikata rufaa azitake into consideration
 
Anataka asilimia zote zipi ?
Wakati watoto wamepewa 25%.
Mke wa kwanza kapewa 37.5%?
Acheni CHUKI ndugu zangu.hivyo ni vitu vya kupita tu.
Huyo jamaa ujinga na ushabikie unsomsumbua hakuna mtu anayepinga jack asipewe urithi Ila swala la kutaka asilimia zote ndo watu wanachopinga na matamanio ya kutaka asilimia zote ndo yanaraise question [emoji780][emoji780][emoji780]
 
Sio kujikoroga wosia hauko valid kisheria ndo maana mahakama imeutupilia mbali
 
Kwendraaaaa huko wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We ulinipiga kibuti, najaribu kwingine unaniwekea uzibe

Au nimwachie Mungu?
 
kwa hyo utatoa hyo sheria. Au utaleta maelezo?
Niwekee sheria inayosema wazazi wakiachana na watoto wapewe Mali
 
Na hao wadogo si watawazidi wakubwa kwa Mali za mama Yao ambae ni kyln

Tukubali tukatae wakubwa lazima wazidi hiyo kyln akubaliane na Hii kwa sababu ya Mama Yao na yeye angetaka watoto wake wawazidi wakubwa angefanya Kazi kwa bidii watoto warithi kwa Mama pia
 
We ulinipiga kibuti, najaribu kwingine unaniwekea uzibe

Au nimwachie Mungu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebuu njoo hapa Coet, ujee na Jeep ile nizururee town babuuh, wee c utakua na ford danger au?
 
Anataka asilimia zote zipi ?
Wakati watoto wamepewa 25%.
Mke wa kwanza kapewa 37.5%?
Acheni CHUKI ndugu zangu.hivyo ni vitu vya kupita tu.
Watoto hawajapewa 25% kama urithi. Walipewa kama mali yao halali. Nao ni shareholders. Sasa baba yao amekufa kwanini wasirithi mali za baba yao???
 
Walitumia sheria ipi kuwapa hizo Mali.au waliamua tu wazazi?
Nikisema mzee mengi alikuwa anaburuzwa na mkewe nitakuwa nakosea?
Watoto hawajapewa 25% kama urithi. Walipewa kama mali yao halali. Nao ni shareholders. Sasa baba yao amekufa kwanini wasirithi mali za baba yao???
 
ebu nipe kwanza sheria ipi imetumika kuwapa 25% hao watoto wakubwa.wakati wazazi wao wapo hai.nikisema mzee mengi alikuwa anaburuzwa na mke nitakuwa nakosea?
 
Wazazi wakiwa hai watoto hawagusi kituu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi naona wewe na Mimi hatuwezi kuelewana.
Ila naona kuna tatizo Kwenye hizo 25 % za watoto wakubwa.
Haya kwangu Mimi naona mapya.sijawahi kuona tajiri yoyote duniani anaachana na mkewe alafu wanatoa asilimia kwa watoto.
Kama siko SAHIHI utanielimisha na kunitajia mifano.
Thanks
Sio kujikoroga wosia hauko valid kisheria ndo maana mahakama imeutupilia mbali
 
Kaka hili balaa.
Sijawahi kuona tangu nizaliwe.
Ndo maana mzee mengi akaandika ule wosia wa BUKU BUKU.
Wazazi wakiwa hai watoto hawagusi kituu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwamba jeff benzos ilibdi awagawie na wanaeee...!! Wakati bado yupo haii khaa..Mali zinagawanya kati ya mume na mkee suala la watoto kurithishwa ni maamuzi ya baba au mama baada ya kupewa hizo mali ataamua..
 
Hawakupewa , walichangia ni shareholders company zao binafsi zipo Ndani ya IPP mfano EATV Mutie na Infocom ni Miku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…