mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hii statement inaonyesha jinsi gan ulivyokua mjinga
Sio sababu kivip mpe basi hizo point zako ili ashinde kesi mahakamani kama unadhani ni rahisikushindwa sio sababu kuwa Hana haki maana aliyetoa hukumu ni binadamu Kama wewe.
Sio sababu kivip mpe basi hizo point zako ili ashinde kesi mahakamani kama unadhani ni rahisi
Sijapanic nakushangaa sana unavyochukulia mambo kirahis, yaan umechukua zile point ambazo zipo kwenye wosia wa jack na hazikumsaidia kushinda kesi Zaid ya Mara moja alafu unadhani bado ni validUnajua wewe unapanic alafu kujenga hoja haujui.
Kwani Kuna watoto wangapi wapo kwenye makampuni ya baba zao lakini hwajapewa asilimia za Mali za wazazi wao?
Hawez shinda kama anavyotaka yeye kumiliki kila kitu, atapewa anachostahili lakin sio kuchukua umiliki wa Mali zoteKushinda atashinda tu Ila atachelewa.
Sijapanic nakushangaa sana unavyochukulia mambo kirahis, yaan umechukua zile point ambazo zipo kwenye wosia wa jack na hazikumsaidia kushinda kesi Zaid ya Mara moja alafu unadhani bado ni valid
Sasa mbona mzee kagawa 37 zake zote kwa mapacha wake mnapinga?
Hizi point zako mpe jack ili ashinde kesi sababu anashindwa kila uchwaoNaona unakwepa swali.nimekuuliza kuna watoto wangapi wanasimamia makampuni wazazi wao lakini hajapewa asilimia za Mali za wazazi wao?
Hawez shinda kama anavyotaka yeye kumiliki kila kitu, atapewa anachostahili lakin sio kuchukua umiliki wa Mali zote
Sio tu kusign ingetakiwa na wale watoto wakubwa waridhie wasign sababu na wao pia ni stakeholder37.5% ya Mzee mengi inagawiwa kwa wote aliowaacha yaani jack na watoto wake wapate nusu na abdiel na rejina wapate nusu na hapo itaangaliwa jack akiwa na mengi walichuma nini? Ovious mzee alimchezea jack sakayonsa, ule wosia ilitakiwa usainiwe na mwanasheria wa kampuni au familia na uwe upo umetunzwa mahakamani, lakini wosia ulisainiwa mtaani na jack akatunza kwenye pochi yake, kila mtu akawa hautambui huo wosia na mahakama ikaelezwa kua toka 2016 mzee mengi afya iliyumba na ni kweli ilikua wazi hiyo na wosia umekaa kimchongo sana alichosahau mtunga wosia ni kuunganisha mali za marehemu mercy apate jack na wanae hapo ndipo watu walistuka wakajua huyu kicheche hakua na nia njema kabisa na mali za wamachame
Naona unakwepa swali.nimekuuliza kuna watoto wangapi wanasimamia makampuni wazazi wao lakini hajapewa asilimia za Mali za wazazi wao?
Swala sio mfano kwako mpe hizo point zako ili ashinde kesiNichukue mfano kwako.
Ingekuwa wewe ungekubali ndugu zako wapewe chao mapema hata Kama umechelewa kuja duniani?
Sawa walishiriki katika kumsaidia baba yenu.je ni SAHIHI wao kupewa hizo %.
37.5% ya Mzee mengi inagawiwa kwa wote aliowaacha yaani jack na watoto wake wapate nusu na abdiel na rejina wapate nusu na hapo itaangaliwa jack akiwa na mengi walichuma nini? Ovious mzee alimchezea jack sakayonsa, ule wosia ilitakiwa usainiwe na mwanasheria wa kampuni au familia na uwe upo umetunzwa mahakamani, lakini wosia ulisainiwa mtaani na jack akatunza kwenye pochi yake, kila mtu akawa hautambui huo wosia na mahakama ikaelezwa kua toka 2016 mzee mengi afya iliyumba na ni kweli ilikua wazi hiyo na wosia umekaa kimchongo sana alichosahau mtunga wosia ni kuunganisha mali za marehemu mercy apate jack na wanae hapo ndipo watu walistuka wakajua huyu kicheche hakua na nia njema kabisa na mali za wamachame
Nichukue mfano kwako.
Ingekuwa wewe ungekubali ndugu zako wapewe chao mapema hata Kama umechelewa kuja duniani?
Sawa walishiriki katika kumsaidia baba yenu.je ni SAHIHI wao kupewa hizo %.
Tatizo lake anachukulia mambo kirahis sana ndo tatizo kubwa la vijana wa kileoNgoja nikuulize ulishawahi kuanzisha kampuni? Kuna kitu kinaitwa hisa zile hisa 25% za abdiel na rejina wanazimiliki toka wakiwa wadogo ni wanahisa wa makampuni yao, yaani wewe ukianzisha kampuni wanahisa ndio wamiliki halali wa hisa hizo sasa ukileta story story unaonekana hauelewi
Ngoja nikuulize ulishawahi kuanzisha kampuni? Kuna kitu kinaitwa hisa zile hisa 25% za abdiel na rejina wanazimiliki toka wakiwa wadogo ni wanahisa wa makampuni yao, yaani wewe ukianzisha kampuni wanahisa ndio wamiliki halali wa hisa hizo sasa ukileta story story unaonekana hauelewi
Hizo point zake ndo hizo hizo zimeshindwa kumsaidia jack huko mahakamaniHalafu wewe utakua muha au ni ndugu yake jack ntuyabhaliwe nilivokusoma hapa
Kwa hyo wao wachukue 63%?
Na bado wanataka wapewe chao tena kwenye 37?za mengi
Halafu wewe utakua muha au ni ndugu yake jack ntuyabhaliwe nilivokusoma hapa
Mwanamke mwenye nguvu bila kutumia akili pia hana maana.Angekuwa mwenye nguvu na akili wala asingekuwa anahangaika na wosia.Alipaswa kumtumia vizuri Mzee akiwa hai ili kujijengea Empire ya business kubwa na siyo kukaa na kusubiri kwenda Mahakamani na wosia wake mkononi.Hebu nikuulize,tangu lini mfaidika wa Wosia akapewa autunze wosia wenyewe? Huoni tu hapo tayari alishadhihira u kihiyo wake kwenye swala nyeti kama hili.Ndiyo maana Mpaka Mahakama ya Rufaa wosia umepigwa chini na kwa sasa hana pa kwenda tena kulalamikakichwa kidogo kikisimama kikubwa hakifanyi kazi.
uenda hata leo mengi akifufuka atalalamika kwanini wosia wake haufuatwi.hatujui mengi na jack walipeana Nini mpaka wakaandikiana ule wosia.yote kwa yote mwanamke ANA NGUVU.