Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Unajua wewe unapanic alafu kujenga hoja haujui.
Kwani Kuna watoto wangapi wapo kwenye makampuni ya baba zao lakini hwajapewa asilimia za Mali za wazazi wao?
Hii statement inaonyesha jinsi gan ulivyokua mjinga
 
Unajua wewe unapanic alafu kujenga hoja haujui.
Kwani Kuna watoto wangapi wapo kwenye makampuni ya baba zao lakini hwajapewa asilimia za Mali za wazazi wao?
Sijapanic nakushangaa sana unavyochukulia mambo kirahis, yaan umechukua zile point ambazo zipo kwenye wosia wa jack na hazikumsaidia kushinda kesi Zaid ya Mara moja alafu unadhani bado ni valid
 
Naona unakwepa swali.nimekuuliza kuna watoto wangapi wanasimamia makampuni wazazi wao lakini hajapewa asilimia za Mali za wazazi wao?

Sasa mbona mzee kagawa 37 zake zote kwa mapacha wake mnapinga?

37.5% ya Mzee mengi inagawiwa kwa wote aliowaacha yaani jack na watoto wake wapate nusu na abdiel na rejina wapate nusu na hapo itaangaliwa jack akiwa na mengi walichuma nini? Ovious mzee alimchezea jack sakayonsa, ule wosia ilitakiwa usainiwe na mwanasheria wa kampuni au familia na uwe upo umetunzwa mahakamani, lakini wosia ulisainiwa mtaani na jack akatunza kwenye pochi yake, kila mtu akawa hautambui huo wosia na mahakama ikaelezwa kua toka 2016 mzee mengi afya iliyumba na ni kweli ilikua wazi hiyo na wosia umekaa kimchongo sana alichosahau mtunga wosia ni kuunganisha mali za marehemu mercy apate jack na wanae hapo ndipo watu walistuka wakajua huyu kicheche hakua na nia njema kabisa na mali za wamachame
 
Nichukue mfano kwako.
Ingekuwa wewe ungekubali ndugu zako wapewe chao mapema hata Kama umechelewa kuja duniani?
Sawa walishiriki katika kumsaidia baba yenu.je ni SAHIHI wao kupewa hizo %.
Hawez shinda kama anavyotaka yeye kumiliki kila kitu, atapewa anachostahili lakin sio kuchukua umiliki wa Mali zote
 
37.5% ya Mzee mengi inagawiwa kwa wote aliowaacha yaani jack na watoto wake wapate nusu na abdiel na rejina wapate nusu na hapo itaangaliwa jack akiwa na mengi walichuma nini? Ovious mzee alimchezea jack sakayonsa, ule wosia ilitakiwa usainiwe na mwanasheria wa kampuni au familia na uwe upo umetunzwa mahakamani, lakini wosia ulisainiwa mtaani na jack akatunza kwenye pochi yake, kila mtu akawa hautambui huo wosia na mahakama ikaelezwa kua toka 2016 mzee mengi afya iliyumba na ni kweli ilikua wazi hiyo na wosia umekaa kimchongo sana alichosahau mtunga wosia ni kuunganisha mali za marehemu mercy apate jack na wanae hapo ndipo watu walistuka wakajua huyu kicheche hakua na nia njema kabisa na mali za wamachame
Sio tu kusign ingetakiwa na wale watoto wakubwa waridhie wasign sababu na wao pia ni stakeholder
Tatizo alidanganywa na mengi kama njia ya kumpata na kumtumia
 
Naona unakwepa swali.nimekuuliza kuna watoto wangapi wanasimamia makampuni wazazi wao lakini hajapewa asilimia za Mali za wazazi wao?

Ngoja nikuulize ulishawahi kuanzisha kampuni? Kuna kitu kinaitwa hisa zile hisa 25% za abdiel na rejina wanazimiliki toka wakiwa wadogo ni wanahisa wa makampuni yao, yaani wewe ukianzisha kampuni wanahisa ndio wamiliki halali wa hisa hizo sasa ukileta story story unaonekana hauelewi
 
Kwa hyo wao wachukue 63%?
Na bado wanataka wapewe chao tena kwenye 37?za mengi
37.5% ya Mzee mengi inagawiwa kwa wote aliowaacha yaani jack na watoto wake wapate nusu na abdiel na rejina wapate nusu na hapo itaangaliwa jack akiwa na mengi walichuma nini? Ovious mzee alimchezea jack sakayonsa, ule wosia ilitakiwa usainiwe na mwanasheria wa kampuni au familia na uwe upo umetunzwa mahakamani, lakini wosia ulisainiwa mtaani na jack akatunza kwenye pochi yake, kila mtu akawa hautambui huo wosia na mahakama ikaelezwa kua toka 2016 mzee mengi afya iliyumba na ni kweli ilikua wazi hiyo na wosia umekaa kimchongo sana alichosahau mtunga wosia ni kuunganisha mali za marehemu mercy apate jack na wanae hapo ndipo watu walistuka wakajua huyu kicheche hakua na nia njema kabisa na mali za wamachame
 
Nichukue mfano kwako.
Ingekuwa wewe ungekubali ndugu zako wapewe chao mapema hata Kama umechelewa kuja duniani?
Sawa walishiriki katika kumsaidia baba yenu.je ni SAHIHI wao kupewa hizo %.

Halafu wewe utakua muha au ni ndugu yake jack ntuyabhaliwe nilivokusoma hapa
 
Ngoja nikuulize ulishawahi kuanzisha kampuni? Kuna kitu kinaitwa hisa zile hisa 25% za abdiel na rejina wanazimiliki toka wakiwa wadogo ni wanahisa wa makampuni yao, yaani wewe ukianzisha kampuni wanahisa ndio wamiliki halali wa hisa hizo sasa ukileta story story unaonekana hauelewi
Tatizo lake anachukulia mambo kirahis sana ndo tatizo kubwa la vijana wa kileo
 
Na hapa ndipo mzee alipojichanya.
Labda alishawishiwa na mke wake mkubwa.
Haya watoto wengine wamekuja.
Wao hawahusiki vipi na 25%wakati ni watoto wako pia?
Ngoja nikuulize ulishawahi kuanzisha kampuni? Kuna kitu kinaitwa hisa zile hisa 25% za abdiel na rejina wanazimiliki toka wakiwa wadogo ni wanahisa wa makampuni yao, yaani wewe ukianzisha kampuni wanahisa ndio wamiliki halali wa hisa hizo sasa ukileta story story unaonekana hauelewi
 
Kwa hyo wao wachukue 63%?
Na bado wanataka wapewe chao tena kwenye 37?za mengi

Huo ndio utaratibu kwani jack kuzaa tu nanhajashiriki kutafuta mali pale hata hizo asilimia chache ashukuru mungu alifosi ndoa ya mchongo tofauti na hapo angelambishwa hewa kama kawaida
 
kichwa kidogo kikisimama kikubwa hakifanyi kazi.
uenda hata leo mengi akifufuka atalalamika kwanini wosia wake haufuatwi.hatujui mengi na jack walipeana Nini mpaka wakaandikiana ule wosia.yote kwa yote mwanamke ANA NGUVU.
Mwanamke mwenye nguvu bila kutumia akili pia hana maana.Angekuwa mwenye nguvu na akili wala asingekuwa anahangaika na wosia.Alipaswa kumtumia vizuri Mzee akiwa hai ili kujijengea Empire ya business kubwa na siyo kukaa na kusubiri kwenda Mahakamani na wosia wake mkononi.Hebu nikuulize,tangu lini mfaidika wa Wosia akapewa autunze wosia wenyewe? Huoni tu hapo tayari alishadhihira u kihiyo wake kwenye swala nyeti kama hili.Ndiyo maana Mpaka Mahakama ya Rufaa wosia umepigwa chini na kwa sasa hana pa kwenda tena kulalamika
 
Back
Top Bottom