Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Ndoa sikitu na watoto sikitu na wosia sikitu kwenye mambo ya urithi, mahakama inachoangalia ni kuona haki inatendeka kwa watoto wa marehemu na mama zao na je mama wa watoto walichangia kiasi gani kwenye hiyo mali.
MKUU SHERIA INASEMA MTOTO ANAHAKI YA KURITHI MALI YA MZAZI WAKE SO WATOTO WOTE WA MENGI WATARITHI TUU HAKUNA KIPINGAMIZI HAPO.
ILA KWA JACK NDO WANAWEZA KUAANGALIA ALICHANGIA NGAPI MAANA KWENYE NDOA HAKUNA 50 KWA 50.
 
Sawa sikatai lakini mbona alifunguliwa miradi ameiua ,au anataka awe CEO wa IPP na associates wake?
Anafikili kufanya biashara ni raisi sana , ngoja apewe HIZO MALI ma WATOTO asije akafujisha zote, maana mali nazo zinapotea.
 
Mimi mwenyewe nimemuhuliza kwa nini Wagome, SIDHANI kama ni kweli walikataa kuwasomesha wadogo zao.
 
We nae bachuuu nini sasa ....unajaza server
 
Duu kumbe kuna Mgao wa WATOTO sita daaa
 
Ni kweli mkuu, K lyn alikosea alipozidisha tamaa yaan apate sehemu kubwa kuliko familia ya mzee (watoto wakubwa)

NB: Jack(K lyn) si mhaya.
Ni Muha wa Manyovu kwa Makamu wa Rais.
 
Duuu hio ni hatari kama ndo hivyo hata MALI za WATOTO akichukua anaweza kufugisha na zikapotea.
 
Press ya Nini.!? Wakati mali za baba yao na mama yao na walihusika pakubwa kuzichuma

Kumbuka wale ni watu wazima first born wa mengi Yuko around 50's abdiel atakuwa late 40's

So wamehusika pakubwa na hata baba yao wakati Yuko hai walikuwa na positions Kila mtu ndani ya IPP.

So hawana Cha kuthibitishia ulimwengu.

Hizo asset ni za baba na mama yao.
 
Dah ama kweli , yali nenwa MWANAUME HATUWEZI SHINDA NGUVU YA MBUSUSU JAMANI ASEEEEEEEEE
 
Early 40s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…