Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Tatizo kumeshajengeka uadui mkubwa mno Kati Yao. Hata hivyo Busara itatumia. Watoto atakaa nao hakuna wa kuwachukua labda awashindwe. Watoto watakuwa huru kuamua kujiunga na ndugu au kujitenga na ndugu wakifikisha 18 years.Kwa hyo unataka kusema licha ya jack kuolewa na mengi Hana haki ya kurithi?hamuoni Kama no dhuluma kwa mjane?mzee alishajichanganya waangalie kilicho chake wampe waachane kwa amani.na hao watoto ni lazma walelewe na mama yao kupitia fedha za baba yao.hauwezi kusema mpaka wakue ndo wapewe . Nani atawasomesha?