miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Hilo buku analia nalo saa hizi kila akikumbuka huo wosia wake[emoji23][emoji23][emoji23]Haya pambaneni, labda mtapatapo hata kabuku[emoji1787][emoji1787]
Sisi tunasonga na makampuni yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo buku analia nalo saa hizi kila akikumbuka huo wosia wake[emoji23][emoji23][emoji23]Haya pambaneni, labda mtapatapo hata kabuku[emoji1787][emoji1787]
"makampuni yenu" aloooh!!Hilo buku analia nalo saa hizi kila akikumbuka huo wosia wake[emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tunasonga na makampuni yetu.
[emoji23][emoji23][emoji23] daah, kwanini sinywi jamani... si nilipaswa hata nipige vyombo hapa kusherehekea? Na alindwe haswaaaa. Ipasavyoo... nimesikia raha kweliiYas Aliacha kijana nadhani atakua anasoma na future president huyo Mungu amuweke kijana wa watu,wengi hawajui kwa kua mengi na wanawe wale wakubwa sio watu wa spotlight nadhani atakua nje anasoma chuo kikuu!!
Akirudi yule ndo wanamuandaa na ndo maaana wanapigania legacy Yao akina Regina Mimi nawaelewa sana ujue maana wakifanya masihara Jacky anaharibu kabisaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu hapo ni.patamu kuliko asali. Na Mzee machache pia huenda alitumia trick ule wosia akijua kuwa lazima utaonekana batili. Na Ile nyumba alishajua iko kwenye mkondo ndiyo maana akaamua kuichukulia mkopo.mkubwa Sana.Wamempa lakini bado ni nyumba ya bank na ina jina la IPP kwa hivyo ataishi Lakini kuuza hawezi
Na nyumba ipo kwenye Mkondo wa bahari ilashapigwa X kwa ajili ya kubomolewa hatujui ya mbeleni aendelee kuomba Mungu na Kujenga uhusiano mzuri na that Family
[emoji16][emoji16][emoji16]Amein tumuombeee tu akuwe na aoe haraka sana awe kama Mutie mwenyewe fastaa atie mimbaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tupate vitukuuuMbona nimesikia raha hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... ni raha vibaya mnoo[emoji23][emoji23][emoji23] huyo ndo mfalme sasa... na tunamuombea mtoto wetu atandike mimba turembo twa kishua. Bila shaka kamesoma IST eh?
Eeh, ya kwetu mae... karibu BONITE. salimia shimimana[emoji23]"makampuni yenu" aloooh!!
Basi sawa.
Ile Will inasema kua Jack akishindwa kusimamia Mali apewe dada ake Shimimana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sio watoto wa Mengi Wala nduguze[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]yaani wamejua kuua bendi asseehh
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hatupati ila ukiwa staa kujadiliwa kawaidaa akifanya mazuri atasifiwa akiharibu tunampa kubwaa piaHaya pambaneni, labda mtapatapo hata kabuku[emoji1787][emoji1787]
، [emoji126][emoji106][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]daaahhhhEeh, ya kwetu mae... karibu BONITE. salimia shimimana[emoji23]
Hivi si tuligoma kulipa ada jamani? Ama? Ila jamani haya maisha tunacomplicate mno. Very sad.Mkuu hapo ni.patamu kuliko asali. Na Mzee machache pia huenda alitumia trick ule wosia akijua kuwa lazima utaonekana batili. Na Ile nyumba alishajua iko kwenye mkondo ndiyo maana akaamua kuichukulia mkopo.mkubwa Sana.
Lakini Danga liko Dubai na mzungu toka mwaka 2021. Hata kesi mwanasheria wake uchwara ndiyo anasimamia. Dubai Yuko na watoto ndiyo kawapeleka shule ya bei mbaya na bill analeta Tanzania. Kawaida naye Yuko katika umri wa kuzalisha afanye KAZI. KAZI ngumu hataki anataka vya bure vya mteremko kama mlima kitonga. Hivyo kudanga ndiyo fresh Sana kwake.
[emoji28][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi unajua we kichaaa sanaaa....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]daahhh....[emoji23][emoji23][emoji23] daah, kwanini sinywi jamani... si nilipaswa hata nipige vyombo hapa kusherehekea? Na alindwe haswaaaa. Ipasavyoo... nimesikia raha kwelii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nambie, tumuozeshe boma lipi? Tumtafutie mapema. Tuende kwa sawaya, mremi ama kwa nani? Hatutaki wadangaji[emoji16][emoji16][emoji16]Amein tumuombeee tu akuwe na aoe haraka sana awe kama Mutie mwenyewe fastaa atie mimbaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tupate vitukuuu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uweke hapa tucheke bwana ,nasikia mpaka nguo zimeandikwa wapewe watoto wawili wa Jac.Hivi jamani billionea anaandika hadi masuala ya nguoNilicheka sana ujue ukisoma ule wosio utacheka uzimie na hata asiyeenda Shule anajua kabisa ni WA kipuuzi maaana kipengele cha mwisho Sasa wakishinda watoto wapewe elf 1,Mali zote mpk nguo na boksa warithi Jacky na wanawe wawili baaasiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani vinachekesha mnooo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kmmk leo na jani ningepuliza. Nachukia mno dhuluma. Sijafundishwa hivi.[emoji28][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi unajua we kichaaa sanaaa....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]daahhh....
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Akili kaka akili brain must work forward! inquisitive mind...Kuna beuty with brain na beuty with brainlessAtakayepinga wosia Apewe Buku buku hapa ndo alipo jichanganya
Then huyo Jack why amekaa na Mengi ameshindwa vipi Kupata mkwanja kipindi ambacho mme akiwa Hai ?
But why mkorofi hivi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan umetukumbusha hata vitu tulishasahau[emoji23][emoji23][emoji23] ukoje lakini?[emoji23][emoji23][emoji23]Uweke hapa tucheke bwana ,nasikia mpaka nguo zimeandikwa wapewe watoto wawili wa Jac.Hivi jamani billionea anaandika hadi masuala ya nguo
?
Sofa la milion 24[emoji23][emoji23]Nilikua nawaza sana kwa nini hawa slays wa kibongo hawana maendeleo toka zamani hadi kizazi cha akina wema na vitoto vya siku hizi, klyne kathibitisha kua hua hawana akili kichwani na sio smart kabisa, fursa ya kuanzisha hata kampuni ya kununua na kuuza ufuta au kahawa nje ya nchi alikua nayo na angepiga mabilioni kwa jina lake maana access ya mtaji ilikuepo akaishia kuanzisha furniture nayo ikafia mbali sasa ana taabika kwa ujinga wake
Hata funguo ya kuingia ndani sijui ksma anayo kwa sasa. Kwenye kaburi tu haruhusiwi kukanyaga. Kile kifo ni kwamba waliamua tu iwe KAZI ya Mungu Ila kuna mashaka mengi. Jua Ile familia mambo yao ni nje ya Camera kabisa. Huyu mbuzi wa kinyarwanda ndiyo amekuja kuharibu namna yao ya kuishi. Kumbuka hata Mzee Mengi hakuwa MTU wa kuweka maisha binafsi kwenye camera lakini huyu danga alimlazimisha ili watu waone wako vizuri ili hata likitokea kama lililotokea basi lionekane ni la kawaida. Mshenzi Sana huyu Danga.Kwa ujuaji wake na alivyowatibua hivi lile Jumba la Machame atathubutu kweli kwenda kukaa kule hata kwa week moja? Maana anakuwa amewafuta huko huko adui zake.