Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Hata akiacha mali zigawanywe kwa usawa atapata share kubwa tu ukizingatia kamkuta mengi tayari ni tajiri.. anachozingua huyu dada anataka kupiga kila kitu kama vile wamehustle pamoja na mengi kutafuta izo mali
Shida ya Jack alijua kwa kuwa watoto wakubwa wa Mengi walirithi hisa zote za mama yao akaona itakuwa rahisi kama wakipunjwa kwenye hizi hisa za baba yao na ndio maana alipohojiwa alionekana akisema "anashangaa maana hisa za mama yao walipata zote na hata hizi ambazo watapata wanae sio kwamba hawa wengine hawana maana hela ni nyingi", yeye anaangalia wingi wa hela wakati wenzake wanaangalia uhali wa wosia na mgao wa haki. Angekubali wakae chini walimalize maama wachaga huwa hawatupi damu zao hata wamama waliolewa kwenye familia zao na sidhani hata kama familia imemkataa.
 
Hawa nao si wagawane nusu nusu yaishe, tushachoka na drama zao sie. Khaaaaah
Wagawane nusu nusu tena? Watagawana kwa mujibu wa sheria ya mirathi.Jack atapewa kile tu alichochuma na Mengi kwa muda wameishi wote,hawezi chukua vya Mke Mkubwa alivyovikuta kamwe,hapo tunaongelea Makampuni yote ya IPP,BONITE na mengine aliyoyakuta tayari.Lakini watoto wake watapata haki yao pia kutoka kwa Baba yao.Hapa Sheria ya Mirathi itatumika.
 
Hii case Jack kama ikionekana atashinda.. ataambulia kupata urithi wa makampuni yaliyofilisika.. sana sana atarithi madeni.

Wakati huu yupo Dubai.. kuna watu hawalali kuangalia namna ya kuchepusha mali..

Kiufupi Jack alivyoandika wosia feki na kuanza harakati za kesi.. ndo imemuharibia.. atashindwa tu
Na ukute hata hajui details za mali zenyewe
 
Wagawane nusu nusu tena? Watagawana kwa mujibu wa sheria ya mirathi.Jack atapewa kile tu alichochuma na Mengi kwa muda wameishi wote,hawezi chukua vya Mke Mkubwa alivyovikuta kamwe,hapo tunaongelea Makampuni yote ya IPP,BONITE na mengine aliyoyakuta tayari.Lakini watoto wake watapata haki yao pia kutoka kwa Baba yao.Hapa Sheria ya Mirathi itatumika.
Vijana wanatakiwa wajue maisha sio marahisi hivyo hesabu za matikiti zinaharibu sana vijana
 
Unanikasirikia Mimi ndo niliyemtongozea mzee mengi jack?
si alimtongoza mwenyewe?
Akatangaza ndoa?
Akamuoa.mengi amekufa huyo mkewe amekuwa mjane
Unadhani jack atakosa mirathi?
Nenda kamsaidie na hizi hoja zako anaangukia pua kila siku huko mahakamani
 
Back
Top Bottom