miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji23] eeh, Kristu Mfalme chini yake Askofu Amedeus MsarikieUmeandika neno la kinyumbani kabisa... Ambalo huthubutu kulitamka hadharani... Hivi umeshapata kipaimara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] eeh, Kristu Mfalme chini yake Askofu Amedeus MsarikieUmeandika neno la kinyumbani kabisa... Ambalo huthubutu kulitamka hadharani... Hivi umeshapata kipaimara?
Miku sio akaMiku ni jina la kimachame itakua aka ya abdiel nahisi
Kweli lakini anakua na jina lingine maana kuna mtoto wa mjomba anaitwa miku lakini anajina lingine abdulMiku sio aka
Ni jina analopewa mtoto wa tatu wa kiume uchagan kama sijakosea
Ila kwani abdiel yeye si mtoto wa kiume wa pili?Miku sio aka
Ni jina analopewa mtoto wa tatu wa kiume uchagan kama sijakosea
Hapo sijui imekaaje maana kwa jinsi ninavyojua mm mtoto wa tatu wa kiume uchagan anaitwa mikuIla kwani abdiel yeye si mtoto wa kiume wa pili?
Namsikiaga sana. Nimesahau wa jimbo lipiHapo sijui imekaaje maana kwa jinsi ninavyojua mm mtoto wa tatu wa kiume uchagan anaitwa miku
Oohkey. Ila abdiel ni wa kiume wa 2.Hapo sijui imekaaje maana kwa jinsi ninavyojua mm mtoto wa tatu wa kiume uchagan anaitwa miku
Father miku tena 😃 hapo kwakweli sijui yaani jina la kichaga lichanganywe na la kiingerezaOohkey. Ila abdiel ni wa kiume wa 2.
Halafu si huwa kuna father Miku eh?
Yaan ni padre. Tafsiri ya Miku ni nini?Father miku tena [emoji2] hapo kwakweli sijui yaani jina la kichaga lichanganywe na la kiingereza
Mwenyewe najua juu juu tu sijui maana yake ni niniYaan ni padre. Tafsiri ya Miku ni nini?
Okey udugu wanguMwenyewe najua juu juu tu sijui maana yake ni nini
Shida ya Jack alijua kwa kuwa watoto wakubwa wa Mengi walirithi hisa zote za mama yao akaona itakuwa rahisi kama wakipunjwa kwenye hizi hisa za baba yao na ndio maana alipohojiwa alionekana akisema "anashangaa maana hisa za mama yao walipata zote na hata hizi ambazo watapata wanae sio kwamba hawa wengine hawana maana hela ni nyingi", yeye anaangalia wingi wa hela wakati wenzake wanaangalia uhali wa wosia na mgao wa haki. Angekubali wakae chini walimalize maama wachaga huwa hawatupi damu zao hata wamama waliolewa kwenye familia zao na sidhani hata kama familia imemkataa.Hata akiacha mali zigawanywe kwa usawa atapata share kubwa tu ukizingatia kamkuta mengi tayari ni tajiri.. anachozingua huyu dada anataka kupiga kila kitu kama vile wamehustle pamoja na mengi kutafuta izo mali
Alafu msimamizi wa mali akamuweka dada yakeNi kweli mkuu, K lyn alikosea alipozidisha tamaa yaan apate sehemu kubwa kuliko familia ya mzee (watoto wakubwa)
NB: Jack(K lyn) si mhaya.
Ntuyabaliwe, ntaganda, ntibazonkiza ukiangalia hii pattern utajua ni mtu wa wapi yule ni mtusi hata kwa muonekano tu sio mbantu ni mtusiCyo mhaya hakuna jina la kihaya linaitwa NTUYABALIWE
huyo ni mtu kutoka Ngara kwa waangaza huko
Nenda kamsaidie na hizi hoja zako anaangukia pua kila siku huko mahakamaniMengi alikuwa na ndoa gani?
Yule mkewe aliyemfumania mpaka wakaachana ni yupi?
Wagawane nusu nusu tena? Watagawana kwa mujibu wa sheria ya mirathi.Jack atapewa kile tu alichochuma na Mengi kwa muda wameishi wote,hawezi chukua vya Mke Mkubwa alivyovikuta kamwe,hapo tunaongelea Makampuni yote ya IPP,BONITE na mengine aliyoyakuta tayari.Lakini watoto wake watapata haki yao pia kutoka kwa Baba yao.Hapa Sheria ya Mirathi itatumika.Hawa nao si wagawane nusu nusu yaishe, tushachoka na drama zao sie. Khaaaaah
Na ukute hata hajui details za mali zenyeweHii case Jack kama ikionekana atashinda.. ataambulia kupata urithi wa makampuni yaliyofilisika.. sana sana atarithi madeni.
Wakati huu yupo Dubai.. kuna watu hawalali kuangalia namna ya kuchepusha mali..
Kiufupi Jack alivyoandika wosia feki na kuanza harakati za kesi.. ndo imemuharibia.. atashindwa tu
Vijana wanatakiwa wajue maisha sio marahisi hivyo hesabu za matikiti zinaharibu sana vijanaWagawane nusu nusu tena? Watagawana kwa mujibu wa sheria ya mirathi.Jack atapewa kile tu alichochuma na Mengi kwa muda wameishi wote,hawezi chukua vya Mke Mkubwa alivyovikuta kamwe,hapo tunaongelea Makampuni yote ya IPP,BONITE na mengine aliyoyakuta tayari.Lakini watoto wake watapata haki yao pia kutoka kwa Baba yao.Hapa Sheria ya Mirathi itatumika.
Nenda kamsaidie na hizi hoja zako anaangukia pua kila siku huko mahakamani
Na ukute hata hajui details za mali zenyewe