mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wanawake aina hii hawana akili hiyoShida ndo hvyo sema hawezi kujishughulisha yaani yeye anataka awe top ila watu wamfanyie kipindi Yuko na mengi angekua mwingine angekua na miradi yake mingi TU sasa hivi binafsi akajisahau kabisaaa yaani ndo maana anahangaika
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wao wanataka muda wote kutumia
Leo yuko dubai kesho Paris,keshokutwa Italy sjui
Ova