Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jackline anatafuta kifo tu kugombea Mali ambazo hausiki nazo na amezikuta.

Muhaya hawezi kuwazidi akili wachaga, anajidanganya tu.
hakuwa mke? walioana kimisingi ya dini? angalikuwa muislam asingepata adha yote hio. katika uislam misingi ya mirathi imewekwa
 
hakuwa mke? walioana kimisingi ya dini? angalikuwa muislam asingepata adha yote hio. katika uislam misingi ya mirathi imewekwa
Hata kwenye ukristo swala la mali lipo wazi. Mkioana ni mpaka kifo hivo anayebaki ndio mrithi. Hapo issue sio Dini issue ni last will and testament hata angekuwa muislam akiacha wosia utafuatwa sidhani kama waislam wote wanafuata taratibu za dini kwenye mali (waliomatajiri)
 
Mimi naona Mzee Mengi aliandika huo wosia kimkakati baada ya kushinikizwa na Jaq kumuandikia urithi ndipo mzee akaona huyu nyonya damu ngoja nimkomeshe,maana kilichotengua huo wosia ni kwamba ilionekana wosia haujakidhi matakwa ya kisheria ikiwemo kuwanyima urithi wanao wengine bila sababu zilizoainishwa kisheria na hilo wanasheria wote wanalijua hivyo ni lazima wasingekubali kufanya makosa makubwa ya kiufundi kama hayo.
Hivyo inaonekana ilifanyika hivyo makusudi ili kuacha mwanya wa kuja kutenguliwa huo wosia mahakamani na hata inawezekana mzee alimdokeza mtu wa karibu wa familia juu ya mkakati huo.
 
Hata kwenye ukristo swala la mali lipo wazi. Mkioana ni mpaka kifo hivo anayebaki ndio mrithi. Hapo issue sio Dini issue ni last will and testament hata angekuwa muislam akiacha wosia utafuatwa sidhani kama waislam wote wanafuata taratibu za dini kwenye mali (waliomatajiri)
Wapo masheikh waliosomea mirathi wantakiwa wauchambue jee waasia huu ni haki? kama ni haki unampa haki yake
 
Mkeka wa Jack umeshachanika......
Aangalie tu ustaarabu mwingine
Ila ng'ombe akikonda hawezi lingana na sungura, amepatapata kwa maisha yetu ya Kiafrika yupo njema, tatizo tu alitaka pakubwa na kwa kuwa wale watoto wakubwa walirithi hisa za marehemu mama yao ambazo ni nyingi, bidada Jacq akaona kama hawawezi leta jam kwenye wosia wake wa mchongo. (aliwahi kuhojiwa akasema kila mtu amepata mgao mkubwa tu akatolea mfano hisa za mke mkubwa kwa watoto wake akasahau hata hisa za baba wana haki nazo pia)
 
Anazidisha tu tamaa ila naamini hana maisha ya njaa kama sisi raia wa kawaida.
 
Feminists naona mko kimya kwenye hili.
Mchangieni basi mwenzenu maisha yaendelee.

Sema, wale wachaga wamemnyoosha 😀 😀
 
Sawa.nielimishe sasa.familia ya mengi inamkwepa vipi jack.na ukimbuke kuwa jack kaolewa na ndoa ya kanisani na hawakuachana na watoto wamezaa na mengi.
Rudi usome ulichoandika. Usiwe mbishi mkuu. 😆😆😆🤗
 
KWA WAKIRISTO LKN WAISLAM WANASHERIA ZAO AMBAZO HATA AFRIKA HAIJAZALIWA
Hakuna shería za waislamu Tanzania, mambo ya Sharia ni kwenye Jamhuri za Kiislamu.

Uislamu umeikuta Africa acha kuwa tutusa, huyo Yesu mwenyewe kaikuta Africa ndio sembuse Uislamu dini ya juzi tu ya Muhammad?
 
Back
Top Bottom