Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Lisilowezekana kwako,
Kwake linawezekana...Pesa hiyo mzee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
hana hela ya kuwa na mkoba wa bei hiyo mmewe hana uchumi huo pili mzee baba bahili sana kapata mali kwa jasho na damu ,huyu dada akiwa bongo anatembelea evoq gari ya mil 200 ndo anunue mkoba wa 65 mil ,hayo wanayaweza wanamuziki maarufu
 
At least we umeongea ukweli...japo itaonekana ni hatred!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hana hela ya kuwa na mkoba wa bei hiyo mmewe hana uchumi huo pili mzee baba bahili sana kapata mali kwa jasho na damu ,huyu dada akiwa bongo anatembelea evoq gari ya mil 200 ndo anunue mkoba wa 65 mil ,hayo wanayaweza wanamuziki maarufu
Hahahaha,
Wewe mzee hapa bongo kuna watu nawafahamu wanavaa saa za 50M sembuse pochi ?? Mtu anayetembelea Evoque na Mercedes AMG huwezi kusema hana uchumi wa kununua mkoba wa 65M...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha,
Wewe mzee hapa bongo kuna watu nawafahamu wanavaa saa za 50M sembuse pochi ?? Una utani wewe mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
wapo hata mimi najua mr patel anapete ya mil 200 ,ila niamini huyu dada anamaisha ya kawaida sana akiwa bongo ,hata mzee mengi wa kawaida sana mi nakutana nao sana arusha hotel za bill laki moja hadi tatu
 
Hahaha, kwani kwenda kwenye Hotel za Laki ndiyo shida mzee ?? Swala ni kwamba huo uwezo wa kununua hiyo pochi anao. Tena mkubwa tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wapo hata mimi najua mr patel anapete ya mil 200 ,ila niamini huyu dada anamaisha ya kawaida sana akiwa bongo ,hata mzee mengi wa kawaida sana mi nakutana nao sana arusha hotel za bill laki moja hadi tatu
Ni ule uhakika wa milo mitatu kwa siku na kubadilisha mboga. Matibabu kwenye hospitali classic, nyumba nzuri ya kuishi, shule nzuri kwa watoto.
Wengi wetu hivyo ni anasa
 
Ni ule uhakika wa milo mitatu kwa siku na kubadilisha mboga. Matibabu kwenye hospitali classic, nyumba nzuri ya kuishi, shule nzuri kwa watoto.
Wengi wetu hivyo ni anasa
Nakuelewa mama ndo maana nimemwambia jamaa usiku mwema ,maana umaskini wetu unafanya tuone maisha ya wengine kwenye picha ya uongo
 
Kumbukeni ana biashara ya fenicha na juzi juzi tu alipata award ya quality. Kwa hiyo si kwamba lazima anategemea hela ya mmewe. Na kama anatengeneza hela ana haki kutumia atakavyo
 
Mnajipa moyo tu mkuu,tafuteni mtu wa Singita grunet/Bilila hotel awaambie Mzee akienda hapo anaachaga sh. Ngapi?

Hivyo vyumba vya hizo hotel mnazosikiaga wanakuja kulala wakina bill gates,Oprah,mastaa wa movies wanalipa mamilioni kwa siku ndiyo lifestyle ya mzee.

Namuona jamaa mmoja pale juu anajipa moyo eti anamkuta mzee analala hotel za laki 1 mpk 3 hahah,Mount Meru yenyewe kulala jamaa anaonaga ni shida tangu alipotaka kuinunua wakamzingua(wao walitaka bil 60 yeye akatoa offer ya 45 bil wakamtosa).

Ana live large tena saana na sio kwa std ya kibongo tu mpk kwa std ya ulaya/Marekani.
 
Wanaume wanabishania pesa Za mwanaume mwenzao

[emoji252] [emoji479]
 
Mtu kama huyo atakutana wapi na kibaka mkuu?? Hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vibaka wa kila stage kiongozi, mpaka kwa mkulu pale magogoni hukosi vibaka. Kumbuka huyu alikuwa mwana bongo fleva bado anazile ties na vibaka kibao hasa wale wa Bongo mavi sema ndo vile hawajasanukia thamani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…