The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
hana hela ya kuwa na mkoba wa bei hiyo mmewe hana uchumi huo pili mzee baba bahili sana kapata mali kwa jasho na damu ,huyu dada akiwa bongo anatembelea evoq gari ya mil 200 ndo anunue mkoba wa 65 mil ,hayo wanayaweza wanamuziki maarufuLisilowezekana kwako,
Kwake linawezekana...Pesa hiyo mzee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app