Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Anatembea na Coaster kwapani daah,laifu izi noti fea kwa kweli
 
kiwanda kinachotengeneza hiyo mikoba.. kuna wateja iliwawaza kwamba watakuwepo tu.. mmojawapo ndiye huyo k lyn
 
Ngoja kwanza nitafakari 68m napata gari gani kali..
 
Huyo ni mke wa Mengi au ni mtoto wa Mengi?
 
Heheh nimebaki kuchekaa tu , maisha ya ki.....nge sana haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…