Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Kinachoniskitisha ni kua anaenda toilet kama wengine, hapumui hewa zaid ya oxygen and kuna siku naye atazikwa.Dunia mapambo tu hayo,ukitambua hilo halitokutisha and you will live Free!!!!
 
Tumea dada wewe ndio unajua kwa kiasi gani Mr anazo wewe tungua tuuh ndio mwanamke bora Tanzania anajua kutumia mwili wake vizuri kuliko hawa wengine wao kazi kusemana kwny instagram na kupiga picha na zile bora sijui zinaitwaje?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Namkubali sana huyu kylin na yule miss Nancy Sumari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…