HakikaNdiyo maana nikamuuliza hivyo. Kiufupi Amorete ipo ndani ya IPP yaani ni kampuni tanzu. Kufungwa kwa kufilisika sidhani labda waamue tu. Yaani Jackline ktk pesa ni kama mchaga. Kuiweka Amorete ndani ya IPP was a smart move.
Maskini kwa kujipa moyo ni hatari sana.Kinachoniskitisha ni kua anaenda toilet kama wengine, hapumui hewa zaid ya oxygen and kuna siku naye atazikwa.Dunia mapambo tu hayo,ukitambua hilo halitokutisha and you will live Free!!!!
Mkuu nawe unajiandaa kuolewa kwa heshima?Kuna kitu najifunza kuhusu huyu dada, dada zetu pia mjifunze. Ndoa ni kitu cha thamani sana kwa mwanamke, huyo Jacqueline ameweka kando ulimbwende wa ki-super star ili aolewe, ndoa ni heshima, ndoa ina thamani kuliko umaarufu uwao wote.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa nawe ni jiiiiinga tu(sorry kwa kukutakana lkn),nawe ukaamini kabisa idrisa alipewa saa ya mil. 500?Watu kama hao wanatembea sehemu tofauti na kwa nafasi walizonazo wanakutana na wat tofaut sasa haina haja ya kustaajabu pengine hata alipewa zawadi mbona ni kawaida,,mm nina kitu cha thanan namiliki watu huwa wananishangaa kuniona nacho,,ila nilipewa zawadi na ndugu yangu wa ughaibun,,,hata idris sultan alipewa saa ya milion 500 na alisema yy mwenyew hawez kutoa hiyo hela kununua saa tu,,kwahiyo mm huwa sishangai kuona mtu anamiliki kitu cha thaman
Wazalendo wamepiga 1.5tril,kila siku wananunua wapinzani(hizo hela bora zingelipia mikopo ya wanafunzi vyuoni huko).Kupitia kauli yako najidhihirishia kuwa wewe si mzalendo kama yule mwenzako.....anyway..endelea kula bange
Ye ataenda mavumbini amekula pepo ya duniani,wewe vp?Mbwembwe tuu, jeuri ya pesa, lkn mwisho mavumbini
Kumbe mmeoanaMaisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Ninaamani kuamka pembeni ya Asprin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ISIS vipi mamaHamna kitu!
Uwongo wake tu!
Mduka wake wa furniture imemshinda!
Hamna kitu kwa huyo mama walahi!
That’s all!
Kwa muonekano wala kibaka hawezi kulitamaniMtu anatembea begani kaning'iniza Million sitini, ama hakika vibaka hawataisha duniani
Yesu alisema pia, ''Masikini mnao kila siku, Mimi nipo hapa kwa wakati''.Naamini una uwezo wa kununua baiskeli. Je ushawah kununua hta baiskel upeleke kijijin kwenu kisaidia watembea kwa mguu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli za kishujaa hz!Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Ninaamani kuamka pembeni ya Asprin
Hebu type namba za utajiri wa mumewe
Kumbe watu mnajuana humu!
Kidogo ulichonacho na wewe umesaidia jamii kama hujawahi saidia kwa kidogo ulichonacho hata ukiwa na kikubwa huwezi saidiaAngenunua hata kitanda kimoja kwenye zahanati ya kijijini kwao angekuwa ameisaidia jamii..
Si mpaka aujue, na akiujua mteja atampata wapi? Si ndio atauuza shs 5,000Kibaka akiukwapua keshatoka kimaisha , uzuri wake sio mtu wa daladala
Sent using Jamii Forums mobile app