Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Ndiyo maana nikamuuliza hivyo. Kiufupi Amorete ipo ndani ya IPP yaani ni kampuni tanzu. Kufungwa kwa kufilisika sidhani labda waamue tu. Yaani Jackline ktk pesa ni kama mchaga. Kuiweka Amorete ndani ya IPP was a smart move.
Hakika
 
Wabongo watafyatua mafeki kama zile GUCCI za pale kariakoo mpk mtashangaa
 
Kinachoniskitisha ni kua anaenda toilet kama wengine, hapumui hewa zaid ya oxygen and kuna siku naye atazikwa.Dunia mapambo tu hayo,ukitambua hilo halitokutisha and you will live Free!!!!
Maskini kwa kujipa moyo ni hatari sana.
 
Kuna kitu najifunza kuhusu huyu dada, dada zetu pia mjifunze. Ndoa ni kitu cha thamani sana kwa mwanamke, huyo Jacqueline ameweka kando ulimbwende wa ki-super star ili aolewe, ndoa ni heshima, ndoa ina thamani kuliko umaarufu uwao wote.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nawe unajiandaa kuolewa kwa heshima?
 
Watu kama hao wanatembea sehemu tofauti na kwa nafasi walizonazo wanakutana na wat tofaut sasa haina haja ya kustaajabu pengine hata alipewa zawadi mbona ni kawaida,,mm nina kitu cha thanan namiliki watu huwa wananishangaa kuniona nacho,,ila nilipewa zawadi na ndugu yangu wa ughaibun,,,hata idris sultan alipewa saa ya milion 500 na alisema yy mwenyew hawez kutoa hiyo hela kununua saa tu,,kwahiyo mm huwa sishangai kuona mtu anamiliki kitu cha thaman
We jamaa nawe ni jiiiiinga tu(sorry kwa kukutakana lkn),nawe ukaamini kabisa idrisa alipewa saa ya mil. 500?

Kua mtu mzima epuka story za instagram huku mkuu.
 
Kupitia kauli yako najidhihirishia kuwa wewe si mzalendo kama yule mwenzako.....anyway..endelea kula bange
Wazalendo wamepiga 1.5tril,kila siku wananunua wapinzani(hizo hela bora zingelipia mikopo ya wanafunzi vyuoni huko).

Komaa na uzalendo wako bob.
 
Back
Top Bottom