Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

Hapa Kuna ukakasi kidogo inakuwaje Benson Benjamin Mengi anakuwa upande tofauti wa kesi na baba yake aitwae Benjamin Mengi ?
 
Yaani huyu Jacklin mwezi kweli ndoadhala ya kudanga


Tatizo la huyu mwanamke yupo kwneye mashindano na watanzania na rafiki zake wa mjini kuwa yeye ni mshindi na ni bossy lady kwa akili ya kawaida hauwezi kukata rufaa mara tisa na zote unashindwa

Urithi atapata lakini sio kma anavyotaka yeye na will yake forgery
 
Nilichojifunza ni heri Mengi asingefunga Ndoa ingine. Angebaki mgane tu. Vijana siku ni waoga kuoa sababu ya mishe kama hizi
 
Kwa wachaga lazima aitwe jambazi tu kwakua amegusa maslahi yao.
 
Ila Mzee ana damu kali..ukiwaona hao madogo wanafanana na Regina utadhani kawazaa...
Elewaneni mali hizi hubakia hapa duniani...
 
Jaq bwana ngoja wapitie tena utoke hapo patupu ndio utajua kwamba hujui, kila la heri ingawa huwezi toboa
 
Unavosema Kawatoa, unamaanisha wale mapacha hawasomi tena IST Mimi.
Duh Hawa watoto wasije kuwa machokoraa aisee kylin awaache watoto walelewe na kina abdiel na Regina yeye akadange ikiwezekana aolewe tu upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…