FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Huyo mdangaji atafute zake, hao watoto alitegemea waachie tu mali za baba yao ziende kizembe?! Hajitambui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama kweli dunia imani imeisha kwenye msiba wa fukara mambo uwa shwari lakini kwa wenye mali.....Niinusuru roho yangu mimi, roho yangu mimi ee
Ndiyo MwenyeweMbona umeandika kama ndio Jacqueline mwenyewe
Tutangaze tendaHivi hakuna mchawi huyu mhutu wamroge?
Haswa huyu inabidi hao akina Mengi wamtie kichaa tu awe mwehu. Mpuuzi sana huyu.
Wato
Watoto walikua IST international school of Tanganyika kawatoa kyln kaenda kudanga nao , company ilikua inalipa
View attachment 1973337
Dah kuna mtu mwenye namba zake au anapatikana wapi huyu aisee
Anataka achukue yoteHao wengine watakula wapi?
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Haswa huyu inabidi hao akina Mengi wamtie kichaa tu awe mwehu. Mpuuzi sana huyu.
Mzeee Mpili kauli kama hizi yeye huziita takataka.Mke mdogo kamkuta baba na Mali zake halafu uje uzichukue kirahisirahisi tuuu.Walahi tunakuuua huku unajiona.Jackline atulie tuuu alifikiri mdoni atamwachia Mali zote zileIfike Mahali watoto wawe wanatafuta mali zao,sasa mtoto umesomeshwa,umesaidiwa kuanza maisha na baba yako,harafu baada ya mzazi wako kufa,unaanza kusumbua mke mdogo wa baba yako kuhusu mali za ulithi!!
Na nyie dada zangu ukiolewa na mdingi mkapata watoto,usibweteke,unaweza ukatumia nafasi aliyonayo hubby wako nawewe ujijenge,utengeneze mali na ukwasi wa kutosha kiasi kwamba,hubby wako akifa,hupati shida saaana,na utakuwa unapigania sehemu yako na watoto katika urithi huku ukiwa unakunywa mvinyo na tabasmu kama lote!!sio kwa vile ulizubaa wakati Mzee yupo hai,sasa hv inakuwa ni "do or die" kupigania huo urithi.
Yani mengi na family yake watafute Mali alafu aje kimada azichukue kirahis? Fara wwWachaga wana roho mbaya sana kwenye mali
Mzee alikulla papuchi ya mutoto wa mujini adi akamu haribia usichana wake, acha ailipie gharama kubwa sasa….!Kuna watu hawana aibu, Jack hujui mengi kafanya kazi na wanae tokea wakiwa wadogo, wewe umekuja juzi unataka mali
Tatizo ni kuwa hizi vita vya mtu against Jamii fulani ya watu huwa haishii mahakamani tu endapo mtu atashinda, haswa pale anapokuwa hana haki ila sheria ikampa haki.Mzee alikulla papuchi ya mutoto wa mujini adi akamu haribia usichana wake, acha ailipie gharama kubwa sasa….!
Wameongea mengi lkn sijawahi kusikia mtu akisema Jaqueling kambambikia Mengi wale mapacha.
Sasa Kama Ni watoto halali kwanini wasipewe Mali ya baba yao?