Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

Ikitokea akarithishwa mali, kisha akaolewa na mtu mwingine hapo inakuwaje?
 
Wato



Watoto walikua IST international school of Tanganyika kawatoa kyln kaenda kudanga nao , company ilikua inalipa

View attachment 1973337
Huyu dada ni janga... kuna kitu anakitafuta atakipata..

Mzee Mengi alikuwa ni public figure asifikiri hii kesi ni kati yake na wanafamilia wa Mzee tu atakuwa kanoa...tupo kibao saaana atachoka mbona.
 
Mahakama ya Rufani leo October 13, 2021 imetupilia mbali mapingamizi ya mtoto mkubwa wa Reginald Mengi dhidi ya maombi ya mapitio ya kesi kutoka kwa Jacqueline Ntuyabaliwe.

Awali Abdiel mengi na Benjamin Mengi walimuwekea pingamizi la awali la kisheria Jacqueline wakiiomba mahakama iyatupilie mbali maombi yake bila kuyasikiliza.

Anyways, ngozi nyeusi inabidi tufanyie kazi Succession plan.. Si kwa mafukara wala matajiri, nadra misiba kuisha bila habari. Huko Arusha mali
Mengi kila kitu kilikuwa sawa ila ushetani ukamuingia mwishoni akataka dogodogo ndo matokeo yake! Ila kuandaa warithi amefanya tena kisawasawa kielimu na kuwashirikisha kwenye kuendesha biashara zake.
 
MCHAGA HADHULUMIWI HAKI YAKE HUYO DADA ANAPOTEZA MUDA TU.
 
Back
Top Bottom