Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

Huyo mdangaji atafute zake, hao watoto alitegemea waachie tu mali za baba yao ziende kizembe?! Hajitambui
 
Ifike Mahali watoto wawe wanatafuta mali zao,sasa mtoto umesomeshwa,umesaidiwa kuanza maisha na baba yako,harafu baada ya mzazi wako kufa,unaanza kusumbua mke mdogo wa baba yako kuhusu mali za ulithi!!

Na nyie dada zangu ukiolewa na mdingi mkapata watoto,usibweteke,unaweza ukatumia nafasi aliyonayo hubby wako nawewe ujijenge,utengeneze mali na ukwasi wa kutosha kiasi kwamba,hubby wako akifa,hupati shida saaana,na utakuwa unapigania sehemu yako na watoto katika urithi huku ukiwa unakunywa mvinyo na tabasmu kama lote!!sio kwa vile ulizubaa wakati Mzee yupo hai,sasa hv inakuwa ni "do or die" kupigania huo urithi.
Mzeee Mpili kauli kama hizi yeye huziita takataka.Mke mdogo kamkuta baba na Mali zake halafu uje uzichukue kirahisirahisi tuuu.Walahi tunakuuua huku unajiona.Jackline atulie tuuu alifikiri mdoni atamwachia Mali zote zile
 
Kuna watu hawana aibu, Jack hujui mengi kafanya kazi na wanae tokea wakiwa wadogo, wewe umekuja juzi unataka mali
 
Nyie subirini tuu mende iangushe kabati, huyo mzee naye alikuwa mweu tuu, acha shomire awashugulikie, hiyo inaitwa gusa unatee!
 
Kuna watu hawana aibu, Jack hujui mengi kafanya kazi na wanae tokea wakiwa wadogo, wewe umekuja juzi unataka mali
Mzee alikulla papuchi ya mutoto wa mujini adi akamu haribia usichana wake, acha ailipie gharama kubwa sasa….!
 
Mzee alikulla papuchi ya mutoto wa mujini adi akamu haribia usichana wake, acha ailipie gharama kubwa sasa….!
Tatizo ni kuwa hizi vita vya mtu against Jamii fulani ya watu huwa haishii mahakamani tu endapo mtu atashinda, haswa pale anapokuwa hana haki ila sheria ikampa haki.

Mfano upo kijiji fulani umeua kikongwe kwa siri, Jamii kwa njia zao ikajua ni wewe, ukapelekwa mahakamani, ushahidi ukakosekana, ukaachiwa. Hapa mara nyingi jamii hushitaki kwenye maakama zao ambazo ukiitwa unaweza mkuta marehemu ndiye jaji.

Kuna mila na desturi ambazo zikianza kufuatwa unaweza sikia hadithi za ajabu ajabuuuu.

Haya mambo unaweza usiyaamini ila yapo.
 
Wameongea mengi lkn sijawahi kusikia mtu akisema Jaqueling kambambikia Mengi wale mapacha.
Sasa Kama Ni watoto halali kwanini wasipewe Mali ya baba yao?


Unaelewa Hii case ? Umeskia hawapewi ?mama yao kyln anataka mali zote za marehemu
 
Back
Top Bottom