Mali zote?Huyu demu kichaa!!!Unaelewa Hii case ? Umeskia hawapewi ?mama yao kyln anataka mali zote za marehemu
Sikiliza alivyo mjinga anajikanyaga sikufatwa kwa ajili ya usuluishi,oh nilifatwa lakini nikawaambia wachten maneno Yao kwanza then wosia mume wangu alisema watoto wakubwa watachukua kwa mama yao hapo hapo wosia hatujawahi kuongelea na mume wangu kwa kifupi ni tapeli huyu mwanamkeMali zote?Huyu demu kichaa!!!
Mimi nilidhani kadhulumiwa hakupewa chochote ndio angalau anadai aambulie kitu.Huu ni uduanzi wa kiwango cha PhD!!!
Tapeli huyu, nimeangalia hadi mwisho. Mara hatukuwahi kuongelea urithi.Mara mme wangu alikuwa akiniambia share zake wapewe wadogo,maana wao walishapata toka kwa mama yao.Come on Jack kwa hiyo watoto wakubwa hawana haki ya kupata mgawo toka kwa baba yao mzazi kisa tu mama yao aliwapa zake zote ?Jack ni mafia. Halafu mali alizopata baada ya divorce zote anawapa wanae wadogo na Jack. Jamani kweli Mengi aliwachukia wanae wakubwa kiasi hiki hadi wanakosa hata cent kutoka kwa baba yao mzazi. Jack acha uongo.Sikiliza alivyo mjinga anajikanyaga sikufatwa kwa ajili ya usuluishi,oh nilifatwa lakini nikawaambia wachten maneno Yao kwanza then wosia mume wangu alisema watoto wakubwa watachukua kwa mama yao hapo hapo wosia hatujawahi kuongelea na mume wangu kwa kifupi ni tapeli huyu mwanamke
[emoji2][emoji3]Kashakula za uso huyu Ntarahamwe
Huyo ni muha siyo muhayaJambazi la kihaya linapotaka kuwapiga wachaga