Haahhaaahhh wanahisiWanawake wanatamani sana jacky arudi chini kabisa aanze kudanga kama bongo moviealipo fika yule basi tena kurudi chini hivyo sio zoezi rahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂"hapo kwenye urithi wa masufuria na vijiko"nimecheka sanawatu wanaomponda jack ni wivu tu unawasumbua, mengi kaamua kuacha urithi kwa watu wake anaowapenda, sasa nyie kinachowakera ni nini? " bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi" , kama wewe umeolewa na masikini subiri kurithi masufuria na vijiko. jack na watoto wake wana haki kisheria ya kurithi vyote walivyoachiwa na mengi, ukweli sasa hivi ndio mwanamke tajiri kupita wote TANZANIA ! ISABELA DOS SANTOS wa bongo ! hongera jack kwa kuzichanga karata zako vyema! ,
Hebu tupe dondoo. Alifanyeje huko Machame?Huyu Dada Unaambiwa kwa Muonekano wa Nje unaweza kudhani Malaika.. Wanaomfahamu Wanakwambia ni Mafia hakuna.
Unakumbuka kile kipindi Alienda Kubatiza Watoto Machame? Na Mama Mercy alikuwepo kipindi hicho.Unaambiwa mambo aliyoyafanya Huko hayaelezeki.
Wazee wa Kichagga wakawa Wanaongelea Pembeni tu.. Ila Kumshauri mzee Mengi wakawa Hawawezi kwani yeye ndiyo kashika kwenye Mpini.
Na Haya anayoyapitia Sasa ni Ile Wanaita "KARMA"Hana namna hicho kikombe lazima akinywee tu. Maana hata Kina Regina walikosa Upendo wa Baba yao Punde tu baada ya Jack kuanza kuwa na Mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kubwa ya mirathi nikuonyesha mgawanyiko wa Mirathi kwa wenye haki yakurithi.Lakini mirathi hii ya Mengi imebagua sana,hii si mirathi ni ubatili tuSasa kazi ya mirathi ni nini na kwa nini watu wanashauriwa kuandika mirathi mapema.
Kama mali lazima zigawashwe kwa watoto wote evenly kwanini ndugu huwa wanagombania kama that's a known fact.
hao watoto wakubwa wa mengi wana matatizo sana, mpaka uzinduzi wa kitabu cha mengi uliohudhuriwa na rais magufuli hawakuwepo , high table yuko jack na watoto wake. imagine! event kubwa hivyo ya baba yenu hamumsapoti, ulitegemea atawaachia urithi wakati walimsusa? hata ingekuwa ni mimi mengi nisingewaachia kitu, hao watoto watakuwa na laana ya baba yao.
Mbwa akiachiwa urithi usiku huo huo tunamchinja tu napika supu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnapoteza muda hamto lamba chochote kabisa ! Lets wait nawahakikishia hamtoshida hii case
unajuaje kama walikaribishwa?hao watoto wakubwa wa mengi wana matatizo sana, mpaka uzinduzi wa kitabu cha mengi uliohudhuriwa na rais magufuli hawakuwepo , high table yuko jack na watoto wake. imagine! event kubwa hivyo ya baba yenu hamumsapoti, ulitegemea atawaachia urithi wakati walimsusa? hata ingekuwa ni mimi mengi nisingewaachia kitu, hao watoto watakuwa na laana ya baba yao.
Kazi kubwa ya mirathi nikuonyesha mgawanyiko wa Mirathi kwa wenye hali yakurithi.Lakini mirathi hii ya Mengi imebagua sana,hii si mirathi ni ubatili tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Angempenda Mengi angependa na ndugu zake, yeye alikua na maslahi yake, ndugu za Mengi wamemu expose hivyo anachukia...
yawezakuwa ni kweli, niliangalia interview yake na jeff koinange kabla ya kifo yule mzee alikua haeleweki anaongea nini yani sauti pia haitoki
Sent from my iPhone using JamiiForums
kwa kweli na mimi nimeshangaa hapo,yani watoto waliosongesha biashara toka utoto wao mpaka wamekuwa watu wazima eti wasiwe na strategies za kumsinda dada aliyeingia juzi tena kwa mgongo wa mzee,na kama anajua biashara mbona hakuwa mfanya biashara kwa kutumia hizo strategies kabla hajaingia kwenye familiaYaani Jack ana strategic plan kuhusu biashara? Unaota mkuu.Jack hatawesa kuwa bilionea..kwasabbu deep inside anajua sio mkweli..hkunaga..hela inataka usafi wa rohomkuu...huyo ataishia level hizo hizo...kwa ubilionea nakataa! Hana akili hizo..umekaa na mume 9yrs unakuja kufanya biashara za furniture?? Khaa
kwa kweli na mimi nimeshangaa hapo,yani watoto waliosongesha biashara toka utoto wao mpaka wamekuwa watu wazima eti wasiwe na strategies za kumsinda dada aliyeingia juzi tena kwa mgongo wa mzee,na kama anajua biashara mbona hakuwa mfanya biashara kwa kutumia hizo strategies kabla hajaingia kwenye familia
Kuna watu wana vituko humu jamji forumAsante mkuu. Nakushukuru kwa uandishi mzuri. Kwanza, sikuchoka kusoma mpk mwisho.
Pili mwandiko unavutia
Tatu umeconvert video kwenda maandishi, hivyo umeokoa bando nililokopa tigo
Nne. NAKUTUNIKIA TUZO YA AMANI YA NOBEL 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ungekuwa wewe , ukute unamiliki KIROBA Cha boxer na chupi za Bambino huo utajiri uutolee wapi...Hata ningekuwa mimi siwezi kuwapa kitu watu wasio na adabu kama hao wanashindwa kumsapoti baba yao akiwa hai wana taka vyake akiwa amekufa!
Ukiacha haya yote lakini kamwe hawatoweza shida hiyo case....
Si kalala na baba yao? Maana yake ni mama yao...Nime skiliza huyo dada anavyo ongea yeye mwenyewe roho ina msuta anavyo waita eti watoto wetu wengine yaani regina na kaka yake wakati kiumri yawezekana hata regina kamzidi Jacqueline ama kweli kitanda kime mpa heshima Jack ya kuwaita Regina na kaka yake watoto zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu i second you! watu wanaongea kama vile hawajaoa/olewa!.....Makiseo, Mkuu unachekesha Sana!!
Umri wa Regina na Abdiel ulikuwa sio umri wa kutegemea upendo wa baba yao!!
Walitakiwa watafute wenza wao ili wawapende na sio baba yao!!
Sent using Jamii Forums mobile app