Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

usimpe moto, wagombania Mali wapo watatoa. watoto wa mengi, ndugu wa mengi na no tatu Jack na nasikia hiyo 50% wala haikugawiwa kwa hiyo familia ya mercy nayo wanaweza fungua kesi pia
 
Jack wanawake wengi wanamchukia.. ila jack sio mwenzao toka kitambo... amekulia mbezi beach kwenye good life kiasi chake cha baba daktari bingwa muhimbili...jack amewin Miss Tanzania zama ambazo ina ushindani mkali.. jack sio mwenzao kweli.. hata historia zake za mahusiano Wanaume wenye hela ndie waliekuwa wanagusa papuchi yake.. inshort jack sio mwenzao na wasichana wa zama za instagram.. wamezaliwa mikoani au tandika kama mobetto.. jack maisha ya getini na kupelekwa shule na gari ameyapitia kitambo

 
Huyu si akae kimya aache mahakama ifanye kazi yake, yaani anajifanya ana uchungu na Mengi kuliko ndugu zake waliozaliwa tumbo moja, ukoo mmoja wanamjua nje ndani.

Huku naona kama anatafuta huruma na kuwapa faida wambeya.
N kweli kabisa uliyoyasema maana hata Wahenga walinena:

Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime

au

B]Unaweza kuchagua rafiki siyo ndugu[/B]
 
Akili za dada zetu wa siku hizi wana invest kwenye mwonekano na papuchi wanasahau kuinvest elimu kwenye vichwa vyao.

Kwa hiyo kutembea na wanaume wenye hela siku hizi ni sifa?.

Ila kaa ukijua hata kama ukitembea na Bill gates kama huna akili hizo hela na kampuni akikupa utazitapanya au watu watakudhulumu.

Kwa faida yako tu kawasome hawa wanawake waliokuwa mabilionea baada ya kutalikiwa Jocelyn Wildenstein ,Patricia Kluge sasa hivi hawana hata mbuni.
 
umesahau kesi ya msingi imefunguliwa na watoto wakubwa wa mengi akina regina kupinga ndugu za mengi kuwa wasimamizi wa urithi, kesi inaendelea kati ya watoto wakubwa na ndugu zake mengi,

Ha ha haha inabidi nicheke tu,kama ni hivyo kwanini sasa Mjane alienda kupinga hiyo kesi ya Msingi isiendelee if at all haina effect yoyote kwake? My Friend we all know this is not gonna end in her favour na kwa majibu hayo ya “...Mzee Aliniambia wameachana....” “.....alisema waligawana....” “Nina ushahidi wa Mirathi” (usiokuwa hata na muhuri wa kisheria) ataangukia pua tena! Btw nasubiri tena Millard aende kutuletea Interview ya pili!
 
Yaan hapa kuna mtu atakula kofi la uso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahh kweli no free lunch in life..hamna mteremko!

And she should have known this better! Sijui kwanini hakukomaa kipindi Mzee akiwa hai amuwekee mambo yake sawa tena ningekuwa Mimi ningesisitiza kabisa iwe kupitia Wanasheria wake wa siku zote wa IPP! Yeye akaona ni smart kwenda kutafuta hao wa Vichochoroni huko Kigogo matokeo yake ndiyo haya sasa!
 
Au mzee kuuza shares zake akawekeze kwingine na kuachana na familia,
kulikuwa na njia nyingi za kufanya (ambazo tuna uhakika Mengi alizijua) lakini hazikufanyika.

Kuna vitu nina uhakika Jack alifikiria ni simple tu ila now anaona ugumu wake.
Kila anachoongea anaulizwa ushahidi hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kimsingi hapa case bado kabisa na watu wengi wanafikiri Jack ameshindwa case kumbe ameshindwa pingamizi aliyoweka kupinga kufunguliwa case kuhusu mirathi lakini mahakama imekataa na sasa case ya msingi itaanza kusikilizwa!

Kimsingi walio fungua case ni ndugu wa mengi wala si watoto na kuna case ya watoto kupinga baba yao kuwa msimamizi wa mirathi...

Mwisho wa siku hapa hakuna mshindi na hii case itadumu muda mrefu sana lakini ninayo hakika Jack atashinda kabisa
 

Hahahaha unajua imenibidi nicheke tuu kwani Jack kashindwa case au kashindwa pingamizi aliloweka? Mnavyo jadili hapa as if yani case imekwisha!

Ok tuseme case imekwisha sasa kama unavyo jaribu kuonesha twambie mahakama imegawaje mali? Imempora mali alizopewa na Mengi? Hahahahaha jamani case bado hii ni hatua ya mwanzo tuuu!
 
Sawa bush lawyer wa magomeni mzee wa kushobolwa[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"ninayo hakika Jack atashinda kabisa"

Kwa hiyo kaka ushahukumu kabisa au wewe ndiye hakimu.
 
"ninayo hakika Jack atashinda kabisa"

Kwa hiyo kaka ushahukumu kabisa au wewe ndiye hakimu.

Mkuu mahakamani hakuna kubeti mambo bi hadharani! Ukiwa unataka kushinda au kushindwa case unaweza ona kabisa sema unaweza zuga tuu
 

Hahahaha wanamchukia sana sijui aliwakosea nini? Na shida yake ni yeye kuwa na hela hivyo wanaumizwa sana
 
Mkuu mahakamani hakuna kubeti mambo bi hadharani! Ukiwa unataka kushinda au kushindwa case unaweza ona kabisa sema unaweza zuga tuu
Kwa hiyo ww ndio umeamua kuhukumu?

Au kwa 100% unaamini uamuzi wako na uamuzi wa hakimu utafanana?
 

Exactly,for her alidhani kuandikiwa Mirthi ilitosha,na hapa ninaona kabisa uwezekano wa kuthibitisha kuwa Mengi na Mkewe walidivorce itakuwa ngumu sana kwake kama anategemea hayo majibu ya “.....Mengi aliniambia....”
 
kashafirika huyu mchana kweupeeeeeeee.......lile zee pamoja na umalaya wake lilikua na akili sana na hawa wadada wa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…