Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Huyu bado ana akili za madanga pamoja na kuwa aliolewa na bilionea, hajui silence speaks volume...

Familia iko kimya...mahakama inafanya yake..yeye anasema jambo likiwa mahakamani siyo siryi linazungumzwa nje??kabla ya uamuzi wa mwisho, hukumu, kutolewa??

Angejua kwa mwendo huu watz, tunaielewa familia zaidi kuliko yeye...

Jackie kaa kimya, katemea nyongo chooni..Utapoteza

Everyday is Saturday...................😎
 
Kwani fenicha biashara mbaya?
 
Huyu bibieee nilikuwa namuona smart sana kumbe ni mweupeeeeeeh uwiiiiiih lol, kapitwa Hadi na Zari yaan saiv anavojichanganya nabaki kuona aibu Mimi Damon, ningekuwa mim ndo jack wallah saiv ningekua na mabilli ya pesa kweny acc huko Ughaibun, sas yey ndo akaona et kuuza furnitures iz it real,? Poleeeeeeeeeh yakeeee ujanja kuwahi mweeeeeeh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama wewe ndio mweupe kumshinda[emoji848]
 
not this Jackie!
Alishindwa kutengeneza empire za business Mengi akiwa hai, ataweza sasa hivi!
She is just a trophy wife!
baaaaaaaaaaaaaaaas!
 
Inashangaza zaidi kuona wanawake ndo wapo mstari wa mbele kumsema Jacq vibaya. Smh

Ukiwa ndoani your spouse na watoto ndo immediate relatives wengine wote wanafuata hata wazazi wako, kwa mujibu wa sheria. Hata Mengi asingeandika urithi Jacq na watoto wao ilibidi wapate sehemu kubwa ya mali. Kusikia kaka wa Mengi anagombania mali ni kituko.
 
Its very funny miaka 9 anataka aende sawa na watoto wenye miaka 50 who been thru hell kumsaidia baba ao
Na hata sasa ni part ya management ya hizo mali

hata kama mimi ningekua Regina nisingemzoea Jacky kabisaa.,zaidi wallahyy ningemrestisha hakyanani wabaki watoto
Jacky ajichunge
 
Kuna asiejua alichofanya Abdiel kwenye media?

Mi nazungumzia hawa watoto wake wakubwa walio hai. Kama marehem mdogo wao wa mwisho kafanya yale wao wamefanya nini binafsi kwenye biashara?

By the way, nadhani sikujibu tena. Mwenyewe umeshasema una chuki binafsi sasa kuna anaetegemea utatoa fair opinion? We nenda kamalizane nae usilete vi povu vyako huku!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…