Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Baada ya wiki moja tu wajane walimtembelea nyumbani !Huyu si akae kimya aache mahakama ifanye kazi yake, yaani anajifanya ana uchungu na Mengi kuliko ndugu zake waliozaliwa tumbo moja, ukoo mmoja wanamjua nje ndani.
Huku naona kama anatafuta huruma na kuwapa faida wambeya.
Mkuu kwan we bado ujaolewa ufanye makubwa kuliko jackHuyu bibieee nilikuwa namuona smart sana kumbe ni mweupeeeeeeh uwiiiiiih lol, kapitwa Hadi na Zari yaan saiv anavojichanganya nabaki kuona aibu Mimi Damon, ningekuwa mim ndo jack wallah saiv ningekua na mabilli ya pesa kweny acc huko Ughaibun, sas yey ndo akaona et kuuza furnitures iz it real,? Poleeeeeeeeeh yakeeee ujanja kuwahi mweeeeeeh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilolijua Mercy Mengi ndo alikua mtoto wa Chifu huko MoshiKwani mke wa kwanza wa marehemu by the time ana umri wa k-lyin aliazisha biashara gani ya kwake binafsi yeye kama mke? We huoni fenicha nzuri zile? Na hao watoto wa mwanzo wamewahi kuanzisha biashara gani binafsi tuone ubunifu wao? Kwa hiyo hata kama hiyo ya fenicha haijasimana ni sehemu ya biashara, si lazima unapoanzisha isimame ila mtu uoneshe ubunifu!!! Mengi mwenyewe alipitia kuanzisha na kufunga biashara tofauti tofauti!!!
Na hilo ndo linalotafutwa, so wakigawana that 25% na Mali zingine nusu kwa nusu ndo suruhisho pekee, sababu Jacky lazima apate na atapata kingi tu sana, hapo hatotimiza ndoto yake anayoiota ya kurithi vyote peke ake na watoto wake, na hiyo ndo inamuumiza right now kuona mpango wake unakwamishwamila za kichaga zinasemaje? Maana ukisema mila hapo watagawana pasu kwa pasu
Boss.. Kuna ule Uzi nilikuomba Uulete hapa wa Familia ya Msuya.. Naona kimya Mkuu.
Huyu Sasa hivi Atulie tu Dawa imuingie.. Kina Regina walimuacha kipindi kile aenjoy na Mzee wakijua kuna Mahali watampata tuu..Yaani ktk interview nilimshangaa na kuhisi kimeo pale aliposema kua walikua wakifika machame wanafikia nyumba ya familia baadae mme wake akaone ajenge awe na mji wake awe huru yaani nkajua tayari jini hiloo 'makata wa makatani kashaingia hakuna amani tena'vululuvululuu kaingia kavunja kila kitu alichokuta yaani ni mbinafsi haswaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna asiejua alichofanya Abdiel kwenye media?
Mi nazungumzia hawa watoto wake wakubwa walio hai. Kama marehem mdogo wao wa mwisho kafanya yale wao wamefanya nini binafsi kwenye biashara?
By the way, nadhani sikujibu tena. Mwenyewe umeshasema una chuki binafsi sasa kuna anaetegemea utatoa fair opinion? We nenda kamalizane nae usilete vi povu vyako huku!!!
Katuona Sisi tuna akili kama zake.. ,Kama walikutana kwenye ndege mengine yote kweli anatuona sisi mapimbi
We unamfahamu Reginald akiwa na Mercy au Fenicha za Molocaho? na hao wangeyumba tu hizo Kampuni zisingefika hapo kampuni zilishaanza kutetereka tangu kutengana na Mercy (japo hili halizungumzwi) Dada wa Amorette amekuta kampuni zinaanza kufifia hao anaowaita watoto wakubwa hawatokaa kizembe na ninavyofahamu wazee wakiafrica sio rahisi kuruhusu watoto wao wawe innovative lakini akija mtu janjajanja tu anaonekana amemwinua Mzee huu mtindo upo sana Africa, Baba akisema yeye ndo final say akichalenjiwa anaenda nje kutafuta faraja huko anakutana na Mafiaz .Kwani mke wa kwanza wa marehemu by the time ana umri wa k-lyin aliazisha biashara gani ya kwake binafsi yeye kama mke? We huoni fenicha nzuri zile? Na hao watoto wa mwanzo wamewahi kuanzisha biashara gani binafsi tuone ubunifu wao? Kwa hiyo hata kama hiyo ya fenicha haijasimana ni sehemu ya biashara, si lazima unapoanzisha isimame ila mtu uoneshe ubunifu!!! Mengi mwenyewe alipitia kuanzisha na kufunga biashara tofauti tofauti!!!
Kwani Yeye alivyosema Baada ya Baba yake kufariki alitaka kujiua Umeelewaje?Umbea tu.
Mtu unakosaje upendo wa Baba ukiwa 40+age. Kama hao Wazee hawakuweza kumshauri Mengi wakati huo wakae kimya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unamwongelea Rodney au ?Kuna asiejua alichofanya Abdiel kwenye media?
Mi nazungumzia hawa watoto wake wakubwa walio hai. Kama marehem mdogo wao wa mwisho kafanya yale wao wamefanya nini binafsi kwenye biashara?
By the way, nadhani sikujibu tena. Mwenyewe umeshasema una chuki binafsi sasa kuna anaetegemea utatoa fair opinion? We nenda kamalizane nae usilete vi povu vyako huku!!!
Watanzania Bwana, Millard ni mwandishi wa habari na ndiko anakopatia pesa yeye kwake habari ni habari sasa anatumikaje hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa gani huyoBi dada atakua anapotoshwa na jamaa mwenye njaa
Ni Rodney Abdiel yupo hai. Sahihisho chanya mkuuHapa unamwongelea Rodney au ?
Sasa uxhaona me nalilia fwedha? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wee vepeeeeeeehMbona kama wewe ndio mweupe kumshinda[emoji848]