Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Huyu bibieee nilikuwa namuona smart sana kumbe ni mweupeeeeeeh uwiiiiiih lol, kapitwa Hadi na Zari yaan saiv anavojichanganya nabaki kuona aibu Mimi Damon, ningekuwa mim ndo jack wallah saiv ningekua na mabilli ya pesa kweny acc huko Ughaibun, sas yey ndo akaona et kuuza furnitures iz it real,? Poleeeeeeeeeh yakeeee ujanja kuwahi mweeeeeeh.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwan we bado ujaolewa ufanye makubwa kuliko jack

地那天刚才妇产科☆
 
Kwani mke wa kwanza wa marehemu by the time ana umri wa k-lyin aliazisha biashara gani ya kwake binafsi yeye kama mke? We huoni fenicha nzuri zile? Na hao watoto wa mwanzo wamewahi kuanzisha biashara gani binafsi tuone ubunifu wao? Kwa hiyo hata kama hiyo ya fenicha haijasimana ni sehemu ya biashara, si lazima unapoanzisha isimame ila mtu uoneshe ubunifu!!! Mengi mwenyewe alipitia kuanzisha na kufunga biashara tofauti tofauti!!!
Usilolijua Mercy Mengi ndo alikua mtoto wa Chifu huko Moshi
She is the source of wealth
 
Burnaboy,
Una matatizo sio bure
Unakujaje kutaka kuuliza Regina kafanya nini kwenye biashara ya baba'ke..atataja mangapi?.

Wanaowajua they can tell you nishasoma mfano moja kuwa
Walikuwa hawaendi kucheza mchana wako home na mshua wanatengeneza kalamu/bic
Ngoja waje wanaowajua wakujuze!
 
mila za kichaga zinasemaje? Maana ukisema mila hapo watagawana pasu kwa pasu
Na hilo ndo linalotafutwa, so wakigawana that 25% na Mali zingine nusu kwa nusu ndo suruhisho pekee, sababu Jacky lazima apate na atapata kingi tu sana, hapo hatotimiza ndoto yake anayoiota ya kurithi vyote peke ake na watoto wake, na hiyo ndo inamuumiza right now kuona mpango wake unakwamishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ktk interview nilimshangaa na kuhisi kimeo pale aliposema kua walikua wakifika machame wanafikia nyumba ya familia baadae mme wake akaone ajenge awe na mji wake awe huru yaani nkajua tayari jini hiloo 'makata wa makatani kashaingia hakuna amani tena'vululuvululuu kaingia kavunja kila kitu alichokuta yaani ni mbinafsi haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Sasa hivi Atulie tu Dawa imuingie.. Kina Regina walimuacha kipindi kile aenjoy na Mzee wakijua kuna Mahali watampata tuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Abdiel amekufa? Watoto gani unawazungumzia tofauti ta Regina na Abdiel.?
Kuna asiejua alichofanya Abdiel kwenye media?

Mi nazungumzia hawa watoto wake wakubwa walio hai. Kama marehem mdogo wao wa mwisho kafanya yale wao wamefanya nini binafsi kwenye biashara?

By the way, nadhani sikujibu tena. Mwenyewe umeshasema una chuki binafsi sasa kuna anaetegemea utatoa fair opinion? We nenda kamalizane nae usilete vi povu vyako huku!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mke wa kwanza wa marehemu by the time ana umri wa k-lyin aliazisha biashara gani ya kwake binafsi yeye kama mke? We huoni fenicha nzuri zile? Na hao watoto wa mwanzo wamewahi kuanzisha biashara gani binafsi tuone ubunifu wao? Kwa hiyo hata kama hiyo ya fenicha haijasimana ni sehemu ya biashara, si lazima unapoanzisha isimame ila mtu uoneshe ubunifu!!! Mengi mwenyewe alipitia kuanzisha na kufunga biashara tofauti tofauti!!!
We unamfahamu Reginald akiwa na Mercy au Fenicha za Molocaho? na hao wangeyumba tu hizo Kampuni zisingefika hapo kampuni zilishaanza kutetereka tangu kutengana na Mercy (japo hili halizungumzwi) Dada wa Amorette amekuta kampuni zinaanza kufifia hao anaowaita watoto wakubwa hawatokaa kizembe na ninavyofahamu wazee wakiafrica sio rahisi kuruhusu watoto wao wawe innovative lakini akija mtu janjajanja tu anaonekana amemwinua Mzee huu mtindo upo sana Africa, Baba akisema yeye ndo final say akichalenjiwa anaenda nje kutafuta faraja huko anakutana na Mafiaz .

Mfano Regina au Abdiel angetaka kuuza fenicha inawezekana (Baba angeona anataka kuchezea hela)

Hao ni kwasababu tu hawaongei tuwasikie ila kama WATATAKA KUONGEA NINA UHAKIKA WATU WATASHANGAA ila sababu hawana akili za kupuliza watapiga Kimyaaaaa.
 
Umbea tu.
Mtu unakosaje upendo wa Baba ukiwa 40+age. Kama hao Wazee hawakuweza kumshauri Mengi wakati huo wakae kimya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Yeye alivyosema Baada ya Baba yake kufariki alitaka kujiua Umeelewaje?
Je, hao ambao Baba yao alikuwa Hai na hawapati Mda naye unadhani walikuwa wanajisikiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna asiejua alichofanya Abdiel kwenye media?

Mi nazungumzia hawa watoto wake wakubwa walio hai. Kama marehem mdogo wao wa mwisho kafanya yale wao wamefanya nini binafsi kwenye biashara?

By the way, nadhani sikujibu tena. Mwenyewe umeshasema una chuki binafsi sasa kuna anaetegemea utatoa fair opinion? We nenda kamalizane nae usilete vi povu vyako huku!!!
Hapa unamwongelea Rodney au ?
 
Back
Top Bottom