Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Huyu mwanamke mnafiki tu anadhani yeye ana uchungu na Mengi kuliko ndugu zake?

Tena awe makini maana anaweza kushinda kesi wakamroga hata mali asifaidi chochote. This is Africa

Sent using Jamii Forums mobile app

Leaving issue ya Jackie pembeni kwanini watu wanahisigi wake hawanaga uchungu zaidi ya ndugu? Kuzaliwa tumbo moja na mtu au kumjua for long doesnt mean una mapenzi nae kuliko mwingine. Mke/mchumba ana mapenzi tofauti na ndugu jamani huyu ni mwenzi wangu that inawezekana mnaspend nae muda mwingi kuliko hao ndugu zake, mnashauriana, mnagombana mnapatana-romantic feelings are involved. Siamini uchungu wa mwenzi is less than uchungu wa ndugu
 
Mwanasheria hujui wapi pa kuweka herufi kubwa na ndogo? Hujui matumizi ya alama za uandishi.

Hiyo ni fani ya watu makini sana tafadhali usiidharau na kuidhalilisha.
mnaomponda jack mnajifariji tu, kwa sisi wanasheria tunajua wosia wa mengi hakuna mahakama yoyote hapa duniani yenye uwezo wa kuutengua, uko sahihi na kisheria kwa 100%. hao ndugu zake sijui watapeleka ushahidi gani wa kudhibitisha mengi alichanganyikiwa. inatakiwa wapeleke ripoti ya daktari wa mengi kudhibitisha madai yao, labda wafoji, mwacheni jack ajimwambafy hakuna wakumdhulumu mali zake na watotn wake
 
Huyu si akae kimya aache mahakama ifanye kazi yake, yaani anajifanya ana uchungu na Mengi kuliko ndugu zake waliozaliwa tumbo moja, ukoo mmoja wanamjua nje ndani.

Huku naona kama anatafuta huruma na kuwapa faida wambeya.
Mfiwa namba moja na mwenye uchungu kuliko wote ni mke. Hawa wengine kinachowauma zaidi ni Mali wala siyo kufiwa!
 
Mfiwa namba moja na mwenye uchungu kuliko wote ni mke. Hawa wengine kinachowauma zaidi ni Mali wala siyo kufiwa!
Uchungu una upima na nini?

Wakati Mengi kuna watoto wake wamekuwa naye katika mapambano ya kuisimamisha IPP na kampuni nyingine nyingi bega kwa bega,milima na mabonde,machozi ,jasho na damu wameshiriki wote zaidi ya miaka 25.

Hawa nao watasemaje au wewe kwa kipimo chako hawana UCHUNGU?

Ila huyo aliye onenekana wakati wenzake washavuna ndio mwenye uchungu,ila hawa walio liandaa shamba,wakalisafisha,wakalima,wakapalilia kwa miaka zaidi ya 25 kisha wakavuna,wakaweka ghalani inamana hawana uchungu?

TUIACHIE MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE.
 
Mfiwa namba moja na mwenye uchungu kuliko wote ni mke. Hawa wengine kinachowauma zaidi ni Mali wala siyo kufiwa!
Jackline hawezi kuwa na uchungu na kifo cha RMengi, kwa vile tayari alikuwa na yule Mlebanon wa Element Club. Kilichokuwa kinatafutwa ni kumdesisha fasta RMengi ili walithi utajiri na waendelee kujirusha.
 
Nimekuambia wew unakaa kwa shemeji yako usibadir gia angan kima wewe unaparamia comments za watu kwa hasira ka mwanamke anae tolewa bikra kwa Mara ya kwanza

kilicho akilini kitumie
Povu lote hilo kumbe umekumbuka maumivu uliyopata ulipo bikiriwa!
 
Povu lote hilo kumbe umekumbuka maumivu uliyopata ulipo bikiriwa !!
Luka Luka tu ujumbe ushaipata usishobokeee comments za wanaume kifala fala wewe Kama huna pesa njoo tukuoe tukupe pesa tu Mana umekuja kwenye comment yangu kunia attack Kama vile nilikukula ndogo bila kukulipa. Mbwa mkubwa wewe.

kilicho akilini kitumie
 
Acha ujinga mkuu! Kwani uyu dem na yeye si anafukuzia urithi apo au ni zake? Sisi masikini tutulie jamaa angu yani mzee wako awe na mali alafu wewe ukubali mwanaume mwengine aje kutumia jasho la mzee wako na wewe upo? Maana dem mwisho wa siku atakuwa na mwanaume unafikiri nini kitatokea na hapo ao wakubwa wanapambania mali za wadogo zao na baba yao... Ila uyo gal ni mwizi kama wezi wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Jamaa asante kwa kunisaidia kumjibu huyo mtu Umelewa maana ya hoja yangu 100%. Mali ni ya baba na anajukumu la kugawia mali kwa watoto wake na mke kila mtu apate chake kwasababu Baba ni kichwa cha familia anatumiliki wote watoto na mke wake hivyo mali atakayo pewa mke mm kama mtoto hainiusu tena endapo akiolewa Baba wa kambo ndio atakuwa kichwa na mmiliki wa hizo mali
 
Luka Luka tu ujumbe ushaipata usishobokeee comments za wanaume kifala fala wewe Kama huna pesa njoo tukuoe tukupe pesa tu Mana umekuja kwenye comment yangu kunia attack Kama vile nilikukula ndogo bila kukulipa. Mbwa mkubwa wewe

kilicho akilini kitumie
Wakisema wanaume sogea mbele hatua 2, hivi na wewe utasogea?
 
Duh nimesoma huo usia saiv hapa 😢 mengi amefanya utoto mtupu kwa mila za kwetu uchaga Mali zinabase kwenye ukoo sio mtu mmoja yani Dr mengi kachukua Mali za ukoo zote kaamisha kwa mwanamke mpita njia ukoo ubaki na historia tu!

Ngumu kumeza atakufa mtu, Mimi kama mchanga kwetu sisi mali zinaflow kutoka kizazi na kizazi mfano Mbowe ni tajiri lakini haimanishi kuwa mali zile alizitafuta mwenyewe from scratch (0) zipo mali alizo achiwa na kutokana na akili akaziendeleza na kuwa na zake nyingi faida ya hii ni kuufanya ukoo kuwa na nguvu, kusaidiana na kubebana ndio maana ukikuta kampuni own ni mchaga basi humo ndani utakuata ndugu wapo kwenye ngazi za uongozi hii ni kwasababu mali hiyo sio yake pekee yeye amepewa dhamana yakumiliki.

Ni kitendo cha aibu kutoa miliki ya ukoo kwenye mali amabazo source yake imetokana na baraka za wazee wako......
 
Leaving issue ya Jackie pembeni kwanini watu wanahisigi wake hawanaga uchungu zaidi ya ndugu? Kuzaliwa tumbo moja na mtu au kumjua for long doesnt mean una mapenzi nae kuliko mwingine. Mke/mchumba ana mapenzi tofauti na ndugu jamani huyu ni mwenzi wangu that inawezekana mnaspend nae muda mwingi kuliko hao ndugu zake, mnashauriana, mnagombana mnapatana-romantic feelings are involved. Siamini uchungu wa mwenzi is less than uchungu wa ndugu

Ni kweli kabisa kabisa Wake wana uchungu kuliko ndugu hiyo ipo wazi, lakini Kyln hakua Mke

Mke mwenye uchungu tunamuongelea Mama Mercy Shangali (RIP)

pamoja na kutengena kwao yule mama alikua akisikia mzee Mengi anaumwa au ana tatizo alikua anamfata huko huko kwa wanawake zake kwenda kumsaidia

Naomba umtoe kyln kwenye Hesabu ya Mke wa mtu mwenye uchungu ( kyln alikua ni gold digger aka Mjasiliamali) ( amekaa kwenye ndoa Miaka 5 tu na babu mwenye miaka 77 utamuesabu huyo kama mke mwenye uchungu ?)wakati huo huo Mzee Mengi alikua na mke wake wa ujanani wa miaka 50+ , nani mwenye uchungu hapo wa Miaka 5 au wa Miaka 50?
 
Back
Top Bottom