balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Ni kweli umeongea ,wengi wanaobisha hawajui lolote.Huwezi kumkataa mtoto wako kwa kumnyima haki ya kurithi bila kutoa sababu na huwezi kugawa mali zisizo zako.Katiba na sheria zetu zinazuia ubaguzi.Wosia nao una ingredients zake siyo mtu anajiandikia tu.Inashangaza sana mtu anabisha tu wakati Hukumu ipo wazi na iko well detailed. Mtu anashupaza shingo wakati hata page moja ya hiyo hukumu hajasoma. Hii ilikuwa ni High Profile Case,hakuna Judge anayeweza kuruin reputation yake kwa kupindisha sheria ili kufavour upande flan,maana hii itakuwa moja ya reference za kesi nyingi za mirathi huko mbeleni.
Sidhani kama viagra zilikuwa zatumika dubai wakati ukisoma ripoti Dubai aliugua akawekewa paceBooster zimefanya kazi ndugu yangu. Viagra zimetumika. Na ndo zilimmalizia zaidi.
Unatoaje rushwa wakati kesi iko waziIsijekuea jaji kakatiwa mpunga wa kutosha na hao watoto wa bi mkubwa ili kumla kichwa k Lyn.
Huwezi jua lolote linawezekana chini ya jua.
SASHA si kama JPMUnajua maana ya High Profile Case? Hakuna Judge anaeweza kuharibu reputation yake kwa kesi za namna ile, kwa maamuzi ya hii kesi sitoshangaa Judge Mlyambina akaja kupanda kuwa Judge wa Mahakama ya Rufani.
We ni mgeni Tz, kwani kesi zote wanazokula rushwa zinakuwa zimejificha?
Haya maisha....ila bado atakua na maisha flani hata kama hana sio choka mbaya kama sie kina mwajei ndalandefu
Sio rahisiWe ni mgeni Tz, kwani kesi zote wanazokula rushwa zinakuwa zimejificha?
Kua uyaone
Umeuliza swali kama hujaenda shule vile. Kwa msomi kama wewe ulitakiwa kuuliza " kwanini tarehe ya barua ni mwaka 2016 halafu inaelezea matukio ya mwaka 2017/19.?"
This document is void ab initio.
Atapewa gari 1Haya maisha....ila bado atakua na naosha flani hata kama hana sio choka mbaya kama sie kina mwajei ndalandefu
Anaishi kwa child support. Yaan ni kama ile anasubiria salary monthly. Kama vile msosi wa kengele
Huo ndio UKWERIIIJack alikosea ule wosia angewaweka wale watoto yeye angejipa nusu na watoto nusu
Au nasema uongo ndugu zangu
Atapewa gari 1
Nyingine zote zilizo chini ya IPP zinarudi.
Watoto watalipiwa ada IST hadi wamalize
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kamwe nisingekubali ukaribu ma hivo vitoto vidogo maana vinaweza kukudhuru na visifungweHuyu mjane pumbavu kabisa,watoto wanasoma tena IST,kwanza ningekuwa mimi ningewaita Watoto wakubwa nikawaambia ni wakati sasa wa kubond na wadogo zenu,nawaambia kabisa mkitaka hata wachukueni kakaeni nao kwa muda wawazoee! Alaa hizi bahati mbona haziji kwetu [emoji36][emoji36]
Hakukataa shule kweli huyu, unajua wadada wazuri, uzuri unawahadaaa sana[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23] kutoka kuwa Slay Queen with Class to Slay Queen with Child Support. Jamani tusomeshe watoto wa kike,ili wasije tia aibu mbele ya Safari kwa vioja kama vya huyu Mrundi/Muha.