Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Inashangaza sana mtu anabisha tu wakati Hukumu ipo wazi na iko well detailed. Mtu anashupaza shingo wakati hata page moja ya hiyo hukumu hajasoma. Hii ilikuwa ni High Profile Case,hakuna Judge anayeweza kuruin reputation yake kwa kupindisha sheria ili kufavour upande flan,maana hii itakuwa moja ya reference za kesi nyingi za mirathi huko mbeleni.
Ni kweli umeongea ,wengi wanaobisha hawajui lolote.Huwezi kumkataa mtoto wako kwa kumnyima haki ya kurithi bila kutoa sababu na huwezi kugawa mali zisizo zako.Katiba na sheria zetu zinazuia ubaguzi.Wosia nao una ingredients zake siyo mtu anajiandikia tu.
 
Umeuliza swali kama hujaenda shule vile. Kwa msomi kama wewe ulitakiwa kuuliza " kwanini tarehe ya barua ni mwaka 2016 halafu inaelezea matukio ya mwaka 2017/19.?"

This document is void ab initio.

Nani alikuambia mimi ni msomi?
 
Anaishi kwa child support. Yaan ni kama ile anasubiria salary monthly. Kama vile msosi wa kengele

[emoji23][emoji23][emoji23] kutoka kuwa Slay Queen with Class to Slay Queen with Child Support. Jamani tusomeshe watoto wa kike,ili wasije tia aibu mbele ya Safari kwa vioja kama vya huyu Mrundi/Muha.
 
Atapewa gari 1
Nyingine zote zilizo chini ya IPP zinarudi.
Watoto watalipiwa ada IST hadi wamalize

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu mjane pumbavu kabisa,watoto wanasoma tena IST,kwanza ningekuwa mimi ningewaita Watoto wakubwa nikawaambia ni wakati sasa wa kubond na wadogo zenu,nawaambia kabisa mkitaka hata wachukueni kakaeni nao kwa muda wawazoee! Alaa hizi bahati mbona haziji kwetu [emoji36][emoji36]
 
Mi kamwe nisingekubali ukaribu ma hivo vitoto vidogo maana vinaweza kukudhuru na visifungwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kutoka kuwa Slay Queen with Class to Slay Queen with Child Support. Jamani tusomeshe watoto wa kike,ili wasije tia aibu mbele ya Safari kwa vioja kama vya huyu Mrundi/Muha.
Hakukataa shule kweli huyu, unajua wadada wazuri, uzuri unawahadaaa sana[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom