balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Ni kweli umeongea ,wengi wanaobisha hawajui lolote.Huwezi kumkataa mtoto wako kwa kumnyima haki ya kurithi bila kutoa sababu na huwezi kugawa mali zisizo zako.Katiba na sheria zetu zinazuia ubaguzi.Wosia nao una ingredients zake siyo mtu anajiandikia tu.Inashangaza sana mtu anabisha tu wakati Hukumu ipo wazi na iko well detailed. Mtu anashupaza shingo wakati hata page moja ya hiyo hukumu hajasoma. Hii ilikuwa ni High Profile Case,hakuna Judge anayeweza kuruin reputation yake kwa kupindisha sheria ili kufavour upande flan,maana hii itakuwa moja ya reference za kesi nyingi za mirathi huko mbeleni.