Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Angekuwa na tako tungesema anafikiri kwa kutumia matako, Sasa kwa uzuri ule anafikiri kwa kutumia nini?
 
Atangaze akose huduma, sijui Mzee Alimpendea nini Maua sama dem Hana hata mvuto , wanamloga hawa madem wa mjini
[emoji23][emoji23][emoji23] ila ukweli maua hana mvuto wowote ila ana bahati, maan baada ya mzee machache, akakumbana na mzungu huhuhuh.
 
Sasa unadhan angebaki na kinje, huyo Mzee machache angemuona wapi na kua nae? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu dada anahitaji ushauri wa kina maana asipokuwa makini anaweza kujitengenezea kesi nyingine ya ku- disclose medical records ya mtu in public. Legal matters angezielekeza mahakamani, sometimes seeking Public sympathy kwa mtindo huu ni so cheap
Hizo records yaweza kuwa ni fake. Iweje daktari bingwa anasema marehemu Mengi alipata 'stoke', halafu paragraph inayofuata anasema stroke?
 
Sasa unadhan angebaki na kinje, huyo Mzee machache angemuona wapi na kua nae? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hivyo, sema Kinje ujanja wote mjini huyu demu alimuingiza chaka kilaini tu
 
Hivi huyu mzee ndonga ilikuwa ilikuwa inasimama kumbe?[emoji849][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Jacky anapenda sana wazungu ila hana bahati nao

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ila k lyn alikuwa mzuri sana .. nakumbuka enz tupo primary pale forodhani, k lyn alikuwa sekondari pale forodhani alikuwa anavuma kwamba ni mzuri shule nzima... sisi wadogo wadogo ila tunasikia sifa zake
 
Ila k lyn alikuwa mzuri sana .. nakumbuka enz tupo primary pale forodhani, k lyn alikuwa sekondari pale forodhani alikuwa anavuma kwamba ni mzuri shule nzima... sisi wadogo wadogo ila tunasikia sifa zake
Hii ni kweli kabisa...Jacky ni mzuri sana sana live!

Mara ya kwanza nilimuona 2007 alikuja shuleni kwetu kutoa toa vizawadi na ushauri wa mimba blah blah demu mkali kinyoko wote tuliappreciate[emoji119][emoji119][emoji119]

Mara ya pili tukakumbana Kempinski Zanzibar kiwengwa kaja na huyu Mengi asee siku hiyo tulikula bata na hawa watu mpaka basi ( Mzee Mengi ana roho nzuri sana na ana maneno matamu kama asali[emoji39][emoji39] na gharama zote alilipa yeye)

Sasa basi toka kafiwa tunakutana viwanja daily siku za weekend, still now bado ni mzuri sana ila ulabuu sasa wewee[emoji482][emoji482][emoji482]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

Anaweza kuwa na frustration and may be she is sick......
 
Wanawake wa town wanavyojua kuchekana, namuonea huruma sana
 
Mobimba 😂😂😂
 
You’ve gone cuckoo for cocoa puffs!

I didn’t mention you anywhere and you weren’t even on my radar.

You are hearing things! A clear sign of cuckoo for cocoa puffs.

Get some help.

Or you just need an ass whupin’?
😆😆🤣🤣🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…