Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Shule muhimu sana...hizi form four hizi ni ungese mtupu....ona kichwani huyu demu alivyo empty set...utatoaje private medical report public???[emoji848][emoji848] Is she ok upstairs?[emoji2962][emoji2962]

Bora mtoto wangu asiwe tajiri lakini awe msomi, nimejifunza hapa[emoji848]
 
Kweli kabisa mkuu,bora mtoto wetu apate PHD yake pale havard but asiwe na mshiko wa maana
 
Tatizo la fursa za madanga wenye pesa zinawakuta limbukeni na wasiojielewa,
Yaan angekua mwanamke smart, saiv angekua ana pambana na mali zake binafsi aliyochuma wakati mzee akiwa hai. Huku mgao kwa wanae twins ukiwa pembeni unapumulia mirija. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wosia unatakiwa kuhifadhiwa na nini ili usiwe batili kisheria ?
1. Ndugu au rafiki unayemwamini
2. Nyumba ya ibada (kanisani/msikitini etc. unapoabudu)
3. Mwanasheria (wa karibu yako ambaye ukifa anaweza kupata taarifa mapema)
4. Mahakama (ya karibu yako)
5. Wakala wa usajili/RITA

Epuka kuacha wosia kwa mojawapo wa warithi maana inapunguza credibility ya wosia (kama hiyo issue ya Mengi).
 
Kwaiyo mbususu ya Jack ilikua chafu au
 
[emoji23][emoji23][emoji23]yaan hata mie naona kabisa hapa.
 
Jacky Jacky natumaini unajuta kwanini ulimpeleka mzee Dubai kula bata wakati ni mgonjwa asiyetakiwa kusafiri tena bila sababu za kimatibabu bali kukufurahisha wewe na group lako la kula bata na mapicha picha insta. Eti watoto hawakuridhika na bata la Zanzibar wakataka muende Dubai daah such a slay queen.
 
Huyu Klyn alichokosea yeye jinsi ya kumu win mzee, yaan yeye pesa zote za mzee alishindwaa hata kuwaza kufanya miradi mikubwa na endelevu kwa ajili ya baadae, akawa buzzy na vacation na outing za gharama, pasipo kujua dunia tunapita,

Leo anabaki kuhangaika tyuuh hajui ashike lipi na wapi, poleee yake sana, ila sijapenda kutoa rec doc za mzee wakati wa ugonjwa wake.

Anahitaji washauri huyu binti.
 
Houllup...... Houllap....... Did u say something... I mean why do i have to hear u mention me.....?!
You’ve gone cuckoo for cocoa puffs!

I didn’t mention you anywhere and you weren’t even on my radar.

You are hearing things! A clear sign of going cuckoo for cocoa puffs.

Get some help.

Or you just need an ass whupin’?
 
Kwani huyu Jacky ile biashara yake ya Furnitures imeishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…