funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Hawa familia ya Mengi wamemstahi tu huyu binti ila ilibidi wamfungulie kesi ya kuhusika na kifo cha mzee. Kuna vitu aliongea kuhusu watoto kushauri kuwa trip ya Zenj haitoshi wanataka kwenda Dubai ambako ndiko kifo kilipomkutia Mengi. Ile tu ni tosha kuonyesha kuwa kuna mashaka kuwa kuna vitu vilipangwa. Na mbaya akasingizia watoto (wadogo sana) ndio walioshauri (yeye kajitoa kimtindo kuadaa watu)
Pia mazingira ya kifo yana utata sana, sijui kwa nini familia haijamshitaki kwenye hili. Kuna mazingira ya kifo cha mzee hayako sawa na mwendelezo wake ni huu wa kufoji vitu ili apate mali. Inaonekana amepanga haya mambo ila waliomshauri ni akili ndogo.
Ndugu wamfungulie kesi ya mauaji akose mwana na maji ya moto