Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Alisainishwa will iliyotengenezwa na kylin na wezi wenzie wakati yule Mzee anaumwa so alikua hajijui

Baada ya kumsainisha will fake wakaanza kuandaa mipango ya kumuondoa duniani na ndio zile cinema za baby I love you kwenye mitandao zikaanza ili akivuta ioenekane walikua na maaba Mzee Mengi na kylin kwa hiyo hasingeweza kumuua ionekane mzee amekufa kifo cha kawaida
 
Read post #198
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mmmmmmmmmmmmmmmmmmh dada/kaka muogope Mungu; kuwa na akiba ya maneno. Una proof gani kuwa Jacky alimuua mumewe?
 
You sound like a single mama au demu la uswaz

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you[emoji23][emoji23][emoji2320][emoji2320]

Nawashangaa wanaotuaccuse kwamba sijui tuna wivu na mali za jacky. Mali zake? Ma.ra.co.re yake. Mali zake amezitoa wapi. Tuwe na wivu na goldiggers? Sisi tunasimamia kwenye fairness. Hizi mali asilimia kubwa zatokea kwa mke mkubwa wa mengi binti kutoka familia ya mangi Shangali. Wale hawaijulii njaa. Na hapa ilikua ni 50 kwa 50. Where did the 50 go? Kwanini iperish just after mama mercy left. Watu wanaongea kama wamekatwa vichwa.

Only cheap goldiggers cant see what jack has just dug. Halaf aliychezeshea hili picha aint even smart enough.

Wanaomtetea kama siyo michepuko basi watoto wa michepuko. Ama goldiggers aka wadangaji. Sisi wengine tumelelewa katika misingi ya kujiamini na kutafuta mali kwa jasho na waume wa ujana zetu na siyo wazee wa NSSF.

Uchaggani kuna mila na desturi zake. Hauendi tuu kama unavyojisikia. Ziko protocol zao. Pale siyo danguroni.

Tunayaongea haya kwa uchungu kwa maana hatujui kesho itakuaje kwa watoto wetu tuliowaacha duniani maana hawana mtetezi.

Hivi wamefikiria what if mengi ndo angetangulia kabla ta mama mercy ingekuaje kwa upande wa klyn? Hapa ndo tunaamini jack alipiga mahesabu makali kuwahi.

Karma never misses the address.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kama watu wengi labda hawana experience na watu wanaokaribia kufariki.

Kuna wakati watu wanaokariaia kufa huwa wanakuwa kama wamedata hawajitambui wala hawajui nini kinaendelea kwenye maisha yao ( siyo kuzimia ).

Na ukiangalia maisha ya Mengi nyakati za mwisho, wakati anatumika KURECORD VIDEO CLIPS NA JACK huku akitamka maneno kama I LOVE YOU CRAZY. Unaona kabisa Mengi alikuwa tayari yuko kwenye hali hiyo kwa kuwa yale hayakuwa maisha ya MENGI tuliyoyazoea.

Inavyoonekana Jack alitumia nyakati hizo kumwandikisha wosia pamoja na publicise ukaribu wake na Mengi kwa umma ili umma uone.

Mengi alifanya makosa, Jack akayatumia ila nionavyo huyo dada anapenda sana mashindano na kutaka kuwa mshindi kwenye kila kitu jambo ambalo litamsumbua sana
 
Waberoya,

Sio kosa lako...

Hujawahi kuwa kwenye family,ambapo baba ni mmoja,mama ni mmoja na watoto ..

Familia wasiomjua mtu mwingine nje ya ndugu zao...

All of suddenly this change ..na huyu mtu anakuja aggressively katika maisha yenu..na kubadilisha direction..

Intruder is intruder exactly ..sijapunguza wala kuongeza...

Najua hii kesi,iko tofauti as Jack alimkuta Mengi alisha achana na mkewe....

Still watoto wa Mengi wali suffer emotional trauma..wazazi wao walivyoachana...

Ndio maana labda (may be),wana ugomvi na Jack

Labda waliona attention ambayo ilikua iwe yao wanapewa wengine...

Hushangai mbona hao watoto wa Mengi hawangaiki na wanawake waliotembea na baba yao..baada ya kuachana na mama yao ambao ni wengi tu ila wanahangaika na Jack...mbegu uliyoipanda Jack ndio hiooooooooo
 
Mahakamani aliwapeleka kisa nini? I thought mahakamani ilikuwa ni kufungua mirathi tu au kuna kesi nyingine tena?
Unajua sababu ya kufungua mirathi na usia anao? Je ndugu wangestuka baada ya siku tisini (90) kupita nini kingefuata? Hata hivyo ni vile huyu Mzee maarufu hivyo kila mtu alikuwa anafuatilia Kwa karibu kila kinachoendelea. Mkuu abda Mimi sijaelewa vizuri. Watu wamelizwa sana Kwa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndio hivyo ndugu,maisha hayatabiriki,unakaa na mke mmoja huna amani,unamuona mwenzako na wake zake watatu na ana furaha tele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…