naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
NimekuelewaWaliandaa ile will then waka draft vizuri kabisa ikawa printed then wakamsainisha Mzee Mengi wakati anaumwa
Ndio maana hata mwanasheria aliesimamia kusainisha lile Zoezi la Will kwa upande wa Mzee Mengi ni Mwanasheria wa vichocholoni sio wanasheria wa Mzee Mengi wa IPP
Walijua wakitumia wanasheria wa kampuni issue ingebuma na Kuvuja mapema
Sent using Jamii Forums mobile app