Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Lile boma sio la kwao ni la kaka yake Mengi so mwenye boma ni mtoto wa mwisho wa kakayake Mengi
kwa mila zetu wachaga, mtoto wa kike hana urithi, na mwenye boma(mrithi wa mali za baba) ni mtoto wa mwisho. hapo hao mapacha wa jack kwa mila za kichagga ndio wenye boma, wataombaje ruhusa kuingia kwenye boma lao? jack yuko sahihi kulalamika
 
Kama ni kweli Basi upeo wa jack ni mdogo sana na kibaya Zaid hata wale marafiki zake wameshimdwa kumshauri vizuri
 
Hawezi kuchukua Mali ambayo hakuichuma kirahisi rahisi namna hiyo.eti kisa wosia. Tena wosia wenyewe"fake"

Jamani si kila mtu anakuwa na mchango kwenye mali kwa kwenda ofisi au kushika jembe! Wengine wanachangia mali kwa kuwahudumia wenye mali na kuwatunza na sheria zina tambua hivyo! Kwa hiyo si lazima Kyln atoke jasho pale IPP ndio apate mgao!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] atulie tuu atakachopewa apokee .kakaa miaka mitano kwenye ndoa arithishwe matrilioni ya shilingi.
Jamani si kila mtu anakuwa na mchango kwenye mali kwa kwenda ofisi au kushika jembe! Wengine wanachangia mali kwa kuwahudumia wenye mali na kuwatunza na sheria zina tambua hivyo! Kwa hiyo si lazima Kyln atoke jasho pale IPP ndio apate mgao!
 
Anajibishana huko insta mbona!

Huyu maisha yake badae itamcost!

Watu kama hawa huwaga wanajiua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona kwenye media za Kenya Sarah Wairimu Cohen mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya Bilionea Cohen alikua na affair na Judge bila shaka kwa motive ya kupindisha case (or whatever, she knows best!)
Sasa kama bibie Klyn akiona mambo yanamchachia hashindiwi kugawa utamu to anyone Law or Political figure who in turn will influence the court in her favour.
Yani kama aliweza kuolewa na mwanaume umri wa baba ake mzazi kwa ajili ya mali atashindwaje kulala na mtu anaeweza kumsaidia kuzimaintain???
This bish is greedy she'll do anything....Tutaskia mengi sana hadi hii ishu iishe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marafiki zake hakuna hata mmoja anamiliki cheti pale...unadhani atashauriwa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Atleast Faraja Kotta amesoma nafahamu ni mwanasheria.
Nancy kuna wakati alitaka kusoma masters UD akatoswa alikuja kipindi kile na vyeti vya Kilimanjaro Institute College (jokes) ila kuna wakati nikofield UDSM alitoswa kusoma pale...the rest sijui!
Shoga kidawa yeye ndo anajua kudanga tu maana hata Muziki ulimkataa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…