Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mila zetu wachaga, mtoto wa kike hana urithi, na mwenye boma(mrithi wa mali za baba) ni mtoto wa mwisho. hapo hao mapacha wa jack kwa mila za kichagga ndio wenye boma, wataombaje ruhusa kuingia kwenye boma lao? jack yuko sahihi kulalamika
Kama ni kweli Basi upeo wa jack ni mdogo sana na kibaya Zaid hata wale marafiki zake wameshimdwa kumshauri vizuriWana ugomvi wa mali na Mengi kazikwa eneo la mali ya mtu ambayo jack hahusiki hivyo kabla ya kwenda pale angeomba ruhusa.
Kumbuka jack keshatoa tangazo la kuzuia ndugu wa Mengi kugusa mali yoyote ya Mengi bila ruhusa yake na kwamba kesi ipo mahakamani(kuna uzi humu ulianzishwa kuhusu hii mada)
Watoto yatima ni wale wakubwa wawili ambao hawana baba ala mama kwa sasa. Watoto wa K-Lynn sio yatima maana K-Lynn yu hai. Au wewe unamuona ni mfu?Wanamnyanyasa mjane na watoto yatima!!!
Hawajui Mungu alishakataza hayo.
Duh hatarmama mkwe na mwali wake hadi kwenye mazishi ya mwanaye hakuhudhuria.
Hawezi kuchukua Mali ambayo hakuichuma kirahisi rahisi namna hiyo.eti kisa wosia. Tena wosia wenyewe"fake"
Jamani si kila mtu anakuwa na mchango kwenye mali kwa kwenda ofisi au kushika jembe! Wengine wanachangia mali kwa kuwahudumia wenye mali na kuwatunza na sheria zina tambua hivyo! Kwa hiyo si lazima Kyln atoke jasho pale IPP ndio apate mgao!
Mmmh Da Jaq anajibishana huko insta balaa..
Avatar yko matata sanaMmmh Da Jaq anajibishana huko insta balaa..
Full kuchambana na waswahili wa mbagala
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajibishana huko insta mbona!Ni mpuuzi sana! Sio wewe tu unaemchukia,asilimia kubwa wamemchukia sana na wanasympathy na watoto wa Mengi,hili peke yake la kuchukiwa na Jamii litamgharimu sana yeye na mbaya zaidi atapelekea chuki kubwa na kwa watoto wake! Waliomdanganya kwa sasa wako pembeni kimya,ni yeye anakabiliana na pressure za Familia na kwenye mitamdao pia! Btw ni nani alimdanganya akatweet ile msg,kama anapitia zile comments nadhani anajuta kwanini alitweet!
Shule muhimu mnoo aseeHata mtoto mdogo anaona kabisa huo ulikuwa utapeli wa haki ya juu,kukosa Elimu nako kumechangia,angekuwa kasoma asingekubali kudanganywa na hao Ma Bush Lawyer wakamwingiza mkenge,sasa hivi anacheza sebene peke yake wao wako pembeni kimyaa!
Marafiki zake hakuna hata mmoja anamiliki cheti pale...unadhani atashauriwa niniKama ni kweli Basi upeo wa jack ni mdogo sana na kibaya Zaid hata wale marafiki zake wameshimdwa kumshauri vizuri
Faraja nyalandu si amesoma udMarafiki zake hakuna hata mmoja anamiliki cheti pale...unadhani atashauriwa nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Atleast Faraja Kotta amesoma nafahamu ni mwanasheria.Marafiki zake hakuna hata mmoja anamiliki cheti pale...unadhani atashauriwa nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda tena kajifunze maana ya Yatima halafu urudi kufuta comment yako hapa,Watoto yatima ni wale wakubwa wawili ambao hawana baba ala mama kwa sasa. Watoto wa K-Lynn sio yatima maana K-Lynn yu hai. Au wewe unamuona ni mfu?
Wewe unaweza kuthibitisha uliandikwa na Mengi, msaidie huyo mdangaji kwa kupeleka ushahidi mahakamaniWewe unaweza kuthibitisha kuwa haukuandikwa au kusainiwa na marehemu? Sasa wasaidie ndugu na watoto wake kuupeleka mahakamani kwenda kuyathibitisha hayo!
Wewe una ushahidi wa kwamba Mengi kaandika ule wosia? upeleke mahakamani haraka!
Ifike mahali wazee wabaki na michepuko tu, unapiga unasepa zako, sasa miaka 70 unaoa na kuzaa na mjukuu wako, matokeo yake unatesa familia yako bure...Mmmh Da Jaq anajibishana huko insta balaa..
Full kuchambana na waswahili wa mbagala
Sent using Jamii Forums mobile app