Unajua huyu anahela lakini akili hana. Wanasheria watamlia hela and she might never win....she never laid her plans well now upande mwingine watacheza na loophole alizoacha.Kuna kitu sio kawaida jambo kama hili,huyu bibie si anawanasheria wake wao ndio wangemshauri vizuri,huku mitandaoni anapoteza muda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pengine kujiandaa kuwa yatakayofuata hayatafurahishaHapana ndugu wa mume hukupenda kinafiki wasimuuzi ndugu yao hata ufanyeje labda ukute wana hofu ya Mungu
Ni kuwafunza wanawake wajisimamie kiuchumi full stop
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekufa amekufa kamwe hawezirejea,hayo malalamiko yake hayana tija labla kama anahitaji kuwapa faida Walimwengu kama ana majonzi na marehemu Mungu anajua na ana muona sio lazima aende kwa wafu.
Wanamnyanyasa mjane na watoto yatima!!!
Hawajui Mungu alishakataza hayo.
Tatizo wewe husemi umewakosea nini ?Wao sio wajinga kukuzuia. Jack mdangaji hodari. Kwani ukienda kwenye kaburi ndo atafufuka ?