Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Binamu nna wasiwasi gani mpk nilete fujo!
NIMECHUKUA TU HOTELI,NAKULA TU NA KUNYWA KWA BILI!
sawa ukimaliza hiyo vacation yako " unahitajika makao makuu ya TAKUKURU
 
Wakati Mwingine mtoto anazaliwa na hali hiyo kama wazazi wake walikua na hizo feelings.
Hilo ni jambo la kawaida sana kwa Jaden Smith kwani watu kama hao wapo wengi sana kuliko mnavodhani.
Nafahamu na huwa nawaonaga wasanii wawili wakubwa sana hapa Bogo wanaoliwa tigo.
Kwenu ajabu ila mm najua ni jinsi gani tigo inavomchanganya mtu.
 
Wachaaa!
 
Unaweza kua Mkurya na usielewe ya Wakurya... hayo uliyoelezea ndio mnayowadanganya watu lakini hakuna kabila linaloongoza kwa Usagaji kama hao Wakurya na hiyo wanayoiita Mila.... Ingekua kama ni mtoto wake angekua na wivu nae? kwanini hua wanapigana hatakufikia hatua ya kuuana akiona mkewe anagawa kama kuku jike??

Bora ulivyomaliza maana hata mimi nilikua nishachoka.
 
Kabisa
 
Asante mkuu....daaah kazi ipo
 
Ndio tatizo la kuzaa na wanaume warembo lazima uzae tushoga tu....baba mrembo mama mrembo unategemea nini?
 
Anajipigia kivipi? Kwamba wanasagana? Usiongee usiyoyajua! Ile mila iliwekwa purposely kwa ajili ya kuzuia ukatili juu ya wanawake toka kwa wanaume zao wa ndoa! Watu wa mara kupiga mwanamke mpaka kumtoa jicho au kumkata mguu kwao ni kawaida! Kwahiyo ikawepo hiyo mila kwamba mwanamke anaolewa na mwanamke mwenzie ila akipatikana mwanaume alimpenda anaruhusiwa kumzalisha ila watoto wanakuwa mali ya huyo mwanamke aliyemuoa! Na huyo mwanaume haruhisiwi hata kumgusa na unyoya huyo mwanamke aliyeolewa! Hiyo mila iliwekwa purposely kwa ajili hiyo coz mwanamke aliyeolewa na mwanamke mwenzie hapigwi wala haguswi,ye kazi yake ni kuzaa tu! Msitetee msiyoyajua! Acha kutetea ushoga na usagaji
 
Twin...naonaga watu wazima wakisema hivo,

Ila hujawahi ona jina la mtu na matendo vinaendana?...

Inategemea ile ipo kwenye kizazi mfano alierithi jina la babu, bibi , shangazi n.k

Haiwezekani jirani apende jina lako labda sababu lipo unique au sababu nyingine basi tabia zako ziende kwa huyo mtoto la sivyo wakina john , sarah, au kikundi flan cha jina flan kingekua na tabia moja.

Yaani mtu hamchangii hata undugu wa mbali wakarithi tabia za mtoto wa smith twin usinichekeshe🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…