bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
mbona haukanushiMAGOLI TU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona haukanushiMAGOLI TU.
sawa ukimaliza hiyo vacation yako " unahitajika makao makuu ya TAKUKURUBinamu nna wasiwasi gani mpk nilete fujo!
NIMECHUKUA TU HOTELI,NAKULA TU NA KUNYWA KWA BILI!
Lesbian huyo achana naeUnapata wapi guts za kusupport ushoga tena upo proud kabisa?
Wachaaa!Wakati Mwingine mtoto anazaliwa na hali hiyo kama wazazi wake walikua na hizo feelings.
Hilo ni jambo la kawaida sana kwa Jaden Smith kwani watu kama hao wapo wengi sana kuliko mnavodhani.
Nafahamu na huwa nawaonaga wasanii wawili wakubwa sana hapa Bogo wanaoliwa tigo.
Kwenu ajabu ila mm najua ni jinsi gani tigo inavomchanganya mtu.
kusubiri change nikiwa nakula na kunywa kwa bili napo ni shida!/sawa ukimaliza hiyo vacation yako " unahitajika makao makuu ya TAKUKURU
Wewe umepata wapi guts za kuwachukia?Unapata wapi guts za kusupport ushoga tena upo proud kabisa?
Unaweza kua Mkurya na usielewe ya Wakurya... hayo uliyoelezea ndio mnayowadanganya watu lakini hakuna kabila linaloongoza kwa Usagaji kama hao Wakurya na hiyo wanayoiita Mila.... Ingekua kama ni mtoto wake angekua na wivu nae? kwanini hua wanapigana hatakufikia hatua ya kuuana akiona mkewe anagawa kama kuku jike??Pole hujajua why wanaoana na sio kuwaa akimuoa ndo anamsaga.. muwe mnasikiliza vipindj na kuelewa mila na tamaduni za watu..
Mimi ni mkurya haswaaaa na nina aunty yangu kaoa msichana... hizo ni mila na hazibadiliki .... inatokana na mtu anazeeka au hana familia means ana utajiri kama na siis utajir wetu ni mifugo na mashamba.. yule mwanamke anakuwa mpweke hajawahi olewa au aliolewa na mme akafa. Anaona karibia nguvu zinamuisha anatafuta bint ktk familia ambayo may be ni marafiki na ni masikin anaenda kuoa. Akisha oa sip kuwa kaoa wasagane anakuwa ni kama mama yake mzazi au mlezi.. hapo akifika yule mama hakuwa na watoto kwani wengi wanaooa hivyo ni wagumba anaona mali zitapotea pindi akifa.. bint akifika pale anakuwa huru kutembea na mwanaume yeyote yule ili amzalie. Yeye atazaa atakavyo kwani alipoenda hapo kuna utajir na hup utajir utakuwa faida kwa wanae pindi akifa mmoja wapo kama sip yeye au yule mama.. watoto wakizaliwa majina yao ya ubib watatumia ya ubin ya yule bibi... na bwana hataruhusiwa kujulikana kwani kazi yake kashafanya..
Kumbuka wanaheshimu sana kudai mtoto kwani kila kabila zina sheria zao zilizowekwa na kuongozwa na wazee wa hilp kabila..hivyo ndo maana ya bint kuolewa na mwanamke hawasagani kwa wakurya.. wale watoto watamwita yule bibi kama mama yao anavyomuita mama...
NIMEMALIZA.. hiyo ya wazungu kwa wakurya iko tofauti maana serikali yenyewe inaelewa hilo ingekuwa ni tofaut na unajua nchi yetu hairuhusu ndoa za jinsia moja.. ila wanajua kuwa ile n km mtu kuadopt mtoto tu..
Ila siku hizi ana wife na twins kabisaTusubiri akistaafu, kwa sasa ana deals nyingi mno ambazo zinambana...
Unavyokazia[emoji23]KWELI.
KabisaNilikua nacheki documentary ya whitney 2018 juzi kati hapo..... yani unaona kabisa jinsi alivokua anaelekea kaburini... Bobby ni muhuni to the core kaishi geto toka mdogo.. wakati whtney alikua wa kishua kiaina.... af jamaa alikua anampelekesha sana bidada
Na majina yanaumbaYaani hapa nilikuwa nawaza jinsi watoto wengi wa kiume wa hapa TZ walivyopewa majina ya Jaden, Jayden sababu ya huyo mtoto wa karate kid. Duh, hatari sana.
Asante mkuu....daaah kazi ipoSheria ya kuanzisha kampuni ya Entertainment and Films Hollywood ni lazima kuwa ama kuajiri LGBT community awe Director, Producer, Sound Engineer, Editor, Visual Effects Artist, DOP, Screenplay Writer, Author, IT and Labs, Transportation Unit, Graphic Artist and so on kwahiyo hamna jinsi ya kuwakwepa
Vilevile movie itakayo husisha watu zaidi ya 12 ni lazima iwape nafasi LGBT community awe actor au actress
Not a Gay nor Bisexual
Wana matatizo gani watoto wa Smith?Will alimuacha yule baby mother wa kwanza na kumuoa Jada sasa watoto aliyopata na Jada wote wana matatizo. Yule wa kwanza atamuokoa.
Anajipigia kivipi? Kwamba wanasagana? Usiongee usiyoyajua! Ile mila iliwekwa purposely kwa ajili ya kuzuia ukatili juu ya wanawake toka kwa wanaume zao wa ndoa! Watu wa mara kupiga mwanamke mpaka kumtoa jicho au kumkata mguu kwao ni kawaida! Kwahiyo ikawepo hiyo mila kwamba mwanamke anaolewa na mwanamke mwenzie ila akipatikana mwanaume alimpenda anaruhusiwa kumzalisha ila watoto wanakuwa mali ya huyo mwanamke aliyemuoa! Na huyo mwanaume haruhisiwi hata kumgusa na unyoya huyo mwanamke aliyeolewa! Hiyo mila iliwekwa purposely kwa ajili hiyo coz mwanamke aliyeolewa na mwanamke mwenzie hapigwi wala haguswi,ye kazi yake ni kuzaa tu! Msitetee msiyoyajua! Acha kutetea ushoga na usagajiNi mwanamke anaenda kumuoa mwanamke mwenzake kisha anamtafutia mwanaume wa kuzaa nae na hao watoto wanakua wa yule mwanamke aliyelipa mahari.... unataka kupindisha ukweli kua huyo aliyeoa hua hajipigii mkewe? lol.
Hatutetei ila hiyo ndio fact haya mambo yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo msiwasingizie watu wa magharibi.
Na majina yanaumba
Twin...naonaga watu wazima wakisema hivo,Mmmh kiaje nielimishe?
So tutegemee watoto waliopewa majina james, elton wakiwa mashoga?
Twin...naonaga watu wazima wakisema hivo,
Ila hujawahi ona jina la mtu na matendo vinaendana?...