Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Wakati Mwingine mtoto anazaliwa na hali hiyo kama wazazi wake walikua na hizo feelings.
Hilo ni jambo la kawaida sana kwa Jaden Smith kwani watu kama hao wapo wengi sana kuliko mnavodhani.
Nafahamu na huwa nawaonaga wasanii wawili wakubwa sana hapa Bogo wanaoliwa tigo.
Kwenu ajabu ila mm najua ni jinsi gani tigo inavomchanganya mtu.
 
Wakati Mwingine mtoto anazaliwa na hali hiyo kama wazazi wake walikua na hizo feelings.
Hilo ni jambo la kawaida sana kwa Jaden Smith kwani watu kama hao wapo wengi sana kuliko mnavodhani.
Nafahamu na huwa nawaonaga wasanii wawili wakubwa sana hapa Bogo wanaoliwa tigo.
Kwenu ajabu ila mm najua ni jinsi gani tigo inavomchanganya mtu.
Wachaaa!
 
Pole hujajua why wanaoana na sio kuwaa akimuoa ndo anamsaga.. muwe mnasikiliza vipindj na kuelewa mila na tamaduni za watu..

Mimi ni mkurya haswaaaa na nina aunty yangu kaoa msichana... hizo ni mila na hazibadiliki .... inatokana na mtu anazeeka au hana familia means ana utajiri kama na siis utajir wetu ni mifugo na mashamba.. yule mwanamke anakuwa mpweke hajawahi olewa au aliolewa na mme akafa. Anaona karibia nguvu zinamuisha anatafuta bint ktk familia ambayo may be ni marafiki na ni masikin anaenda kuoa. Akisha oa sip kuwa kaoa wasagane anakuwa ni kama mama yake mzazi au mlezi.. hapo akifika yule mama hakuwa na watoto kwani wengi wanaooa hivyo ni wagumba anaona mali zitapotea pindi akifa.. bint akifika pale anakuwa huru kutembea na mwanaume yeyote yule ili amzalie. Yeye atazaa atakavyo kwani alipoenda hapo kuna utajir na hup utajir utakuwa faida kwa wanae pindi akifa mmoja wapo kama sip yeye au yule mama.. watoto wakizaliwa majina yao ya ubib watatumia ya ubin ya yule bibi... na bwana hataruhusiwa kujulikana kwani kazi yake kashafanya..
Kumbuka wanaheshimu sana kudai mtoto kwani kila kabila zina sheria zao zilizowekwa na kuongozwa na wazee wa hilp kabila..hivyo ndo maana ya bint kuolewa na mwanamke hawasagani kwa wakurya.. wale watoto watamwita yule bibi kama mama yao anavyomuita mama...

NIMEMALIZA.. hiyo ya wazungu kwa wakurya iko tofauti maana serikali yenyewe inaelewa hilo ingekuwa ni tofaut na unajua nchi yetu hairuhusu ndoa za jinsia moja.. ila wanajua kuwa ile n km mtu kuadopt mtoto tu..
Unaweza kua Mkurya na usielewe ya Wakurya... hayo uliyoelezea ndio mnayowadanganya watu lakini hakuna kabila linaloongoza kwa Usagaji kama hao Wakurya na hiyo wanayoiita Mila.... Ingekua kama ni mtoto wake angekua na wivu nae? kwanini hua wanapigana hatakufikia hatua ya kuuana akiona mkewe anagawa kama kuku jike??

Bora ulivyomaliza maana hata mimi nilikua nishachoka.
 
1542190134343.png
 
Sheria ya kuanzisha kampuni ya Entertainment and Films Hollywood ni lazima kuwa ama kuajiri LGBT community awe Director, Producer, Sound Engineer, Editor, Visual Effects Artist, DOP, Screenplay Writer, Author, IT and Labs, Transportation Unit, Graphic Artist and so on kwahiyo hamna jinsi ya kuwakwepa

Vilevile movie itakayo husisha watu zaidi ya 12 ni lazima iwape nafasi LGBT community awe actor au actress

Not a Gay nor Bisexual
Asante mkuu....daaah kazi ipo
 
Ndio tatizo la kuzaa na wanaume warembo lazima uzae tushoga tu....baba mrembo mama mrembo unategemea nini?
 
Ni mwanamke anaenda kumuoa mwanamke mwenzake kisha anamtafutia mwanaume wa kuzaa nae na hao watoto wanakua wa yule mwanamke aliyelipa mahari.... unataka kupindisha ukweli kua huyo aliyeoa hua hajipigii mkewe? lol.

Hatutetei ila hiyo ndio fact haya mambo yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo msiwasingizie watu wa magharibi.
Anajipigia kivipi? Kwamba wanasagana? Usiongee usiyoyajua! Ile mila iliwekwa purposely kwa ajili ya kuzuia ukatili juu ya wanawake toka kwa wanaume zao wa ndoa! Watu wa mara kupiga mwanamke mpaka kumtoa jicho au kumkata mguu kwao ni kawaida! Kwahiyo ikawepo hiyo mila kwamba mwanamke anaolewa na mwanamke mwenzie ila akipatikana mwanaume alimpenda anaruhusiwa kumzalisha ila watoto wanakuwa mali ya huyo mwanamke aliyemuoa! Na huyo mwanaume haruhisiwi hata kumgusa na unyoya huyo mwanamke aliyeolewa! Hiyo mila iliwekwa purposely kwa ajili hiyo coz mwanamke aliyeolewa na mwanamke mwenzie hapigwi wala haguswi,ye kazi yake ni kuzaa tu! Msitetee msiyoyajua! Acha kutetea ushoga na usagaji
 
Twin...naonaga watu wazima wakisema hivo,

Ila hujawahi ona jina la mtu na matendo vinaendana?...

Inategemea ile ipo kwenye kizazi mfano alierithi jina la babu, bibi , shangazi n.k

Haiwezekani jirani apende jina lako labda sababu lipo unique au sababu nyingine basi tabia zako ziende kwa huyo mtoto la sivyo wakina john , sarah, au kikundi flan cha jina flan kingekua na tabia moja.

Yaani mtu hamchangii hata undugu wa mbali wakarithi tabia za mtoto wa smith twin usinichekeshe🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom