Ila Shyrose naye apunguze umalaya kwani umri unaenda mwishowe atazeeka bila mtoto atulie atafute mume amuoe leo mr 2 jana rwekaza johnson fisadi mala Masha sijui kama inapendeza kwenye jamii kwa mtu mwenye status kama yake:msela:
Aliruhusu kuwa used mwnyw so akome.. Inafurahisha mwanaume akilizwa na mdada maana cku zote wanawake ndo wanalalama kulizwa!!koma ukiwa mwanamke kuzoa mtu kisa status na fedha vinaruhusu...
tafuta mtu wa hadhi yako,mnayeendana naye...
sio kutumia watu kwa manufaa yako binafsi,ukiona humuhitaji tena ,umeshampata uliyekuwa unamtafuta, unambwaga mwenzio...
huyo jaffarai anabwabwaja sababu yuko hurt na anafeel used,hata ningekuwa mie ningebwabwaja kupunguza machungu..
ila siwaonei huruma wote wawili na WAKOME!!!!
kama kawaida mmeconclude shy ndio victim,na wakati kamtumia kaka wa watu kama BIG G imeisha utamu kaitupa...msonyo!:coffee::twitch:
Anti Virus bado inasumbua, ile issue bado clouz inawatesa, sasa imeamua kutafuta wahuni wamchafue MB
Jafarai naona bado ni mtoto yani anaongelea mambo ya chumbani kwenye vyombo vya habari tena bila kificho. Namshauri huyu dogo atulie ili ajue nini cha kufanya. Yaani kaeleza kila kitu mpaka aibu.
Hao wanajuana wao kwa wao bwana hata kama ni kicheche nafikiri angetumia busara zaidi na kukaa kimya kuliko kuanza kuongelea ishu kama hizo tena public halafu kuzipeleka facebook na unaanza kumtrash mtu
Nadhani sasa clouds watapata visngizio kwenye persona issues.
Aliruhusu kuwa used mwnyw so akome.. Inafurahisha mwanaume akilizwa na mdada maana cku zote wanawake ndo wanalalama kulizwa!!