Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

he (Jaffarhymes ) is suffering from his big booted EGO ! why dissing someone when all is loose ? i hope shyrose and Mr 2 get down to it, they make a good couple, the other guy is still growing and definetly not of shy's calibre.. Shyrose mpotezee huyo!!

arrogance and rudeness are training wheel in the bicylce of life...FOR WEAK PEOPLE who cant keep their balance without them !!
 
Ila Shyrose naye apunguze umalaya kwani umri unaenda mwishowe atazeeka bila mtoto atulie atafute mume amuoe leo mr 2 jana rwekaza johnson fisadi mala Masha sijui kama inapendeza kwenye jamii kwa mtu mwenye status kama yake:msela:

taratibu please, we both dont know wht are her priorities right now whether she wants kids or getting married and those people you mention...r u sure ?
 
Hivi Shyrose ni Mwanamke wa kumjadili hivi?maana kuna treads zaid ya 3 juu ya huu Mlupo apa JF!.kwa wanaemjua huyu mdada watakubaliana nami kuwa afai ata kuwa GF wa kingwendu.
Namimi nnamshangaa Jafarai kuishi for all this 8 yrs na hu mcharuko.Shyrose ni Jamvi la wageni
 
koma ukiwa mwanamke kuzoa mtu kisa status na fedha vinaruhusu...
tafuta mtu wa hadhi yako,mnayeendana naye...
sio kutumia watu kwa manufaa yako binafsi,ukiona humuhitaji tena ,umeshampata uliyekuwa unamtafuta, unambwaga mwenzio...
huyo jaffarai anabwabwaja sababu yuko hurt na anafeel used,hata ningekuwa mie ningebwabwaja kupunguza machungu..
ila siwaonei huruma wote wawili na WAKOME!!!!

kama kawaida mmeconclude shy ndio victim,na wakati kamtumia kaka wa watu kama BIG G imeisha utamu kaitupa...msonyo!:coffee::twitch:
Aliruhusu kuwa used mwnyw so akome.. Inafurahisha mwanaume akilizwa na mdada maana cku zote wanawake ndo wanalalama kulizwa!!
 
Mimi nilishasema JF imebadilika sana. Nani anataka kujua maisha ya watu wameachwa wameacha wanapenda wanachukiana give us a break!!!huu upuuzi waachieni wenyewe. What the hell is this all about??? Tuondoleeni huu upuuzi nendeni facebook mkaweke haya yote. Who cares who is who ni maisha yao wakitaka kulisakata rumba kimpango wao msituchoshe na habari hizi za kufikirika.
 
kweli sugu kdume kummega demu wa m2 na mwenye demu akakufumania unakuwa upo juuuu alafu aibu ya demu sio ya mwanaume hapo ndio pananichanganya demu ataonekana malaya na heshima yake inaporomoka man anaonekane kdume na heshima yake inapaa
 
Jamani musipoteze mda wenu bure kudiscuss hii insue. Habari ambazo ninazo ila sina
uthibitisho tosha ni kuwa Shy roze anataka kujiunga na chama fulani cha upinzani ili
mwaka 2015 agombee ubunge jimbo la kinondoni kupitia chama hicho machachari.
So makachero wa chama hicho walichokifanya ni kumpelekea mtu machachari kama yeye SB
ili aingie kiulaani ndani ya chama. ukweli ni kuwa Mr 2 na SB hawana mahusiano ya kimapenzi.
 
Ni ujinga............. pamoja na kwamba JAFARAI kwa kufanya hivyo anamdhalilisha Shyrose bado naye amejidharlilisha kiaina. leo ndo aone umri aone umri mkubwa wa Shyrose baada ya miaka nane.......... Mashuga mami wakiwachoka maserengeti boi huwa wanatafuta wengine wa kuwa lea................... SHYrose why are you not SHY.....??? unamwgwa unaachwa........... UNAJIMEGESHA UNAACHWA.......WHY..........???? UMEIDHALILISHA DWASCO NA ILE BENKI
 
Habari ambazo ninazo karibu mwezi sasa ila sina uthibitisho wa kina ni kuwa
Shy rose anahitajika kujiunga na chama fulani machachari cha upinzani ili agombee
nafasi ya ubunge jimbo la kinondoni mwaka 2015. Makachero wa chama hicho machachari
walichokifanya ni kumpelekea mtu ambae ni kipenzi cha vijana na anajua jinsi ya kudili na
jamii ya watu kama akina SB. Na inasemekana hadi sasa ameshakubari asilimia 80 kujiunga
na hicho chama. ukweli ni kwamba Mr2 naSB hawana mahusiano yoyote ya kimapenzi.
 
FROM HIS FACEBOOK WALL:

'Nimeachana na shyrose bhanji (kicheche mzee) baada ya kugundua km anatoka kimapenzi na mr 2... ni aibu sana kwa mwanamke mwenye miaka 42 kua kicheche kiac hicho!!!! nilitegemea mtu km mr 2 angeanza kufanya harakati ktk mziki wetu lkn harakati zake zimehamia kwenya mapenzi na madem wa wasanii wenzake... ni aibu kubwa sana'

Yaani Jaffarai ndo anajua kuwa ni kicheche cha huo umri baada ya kuachana?....
Maswali mengi: Miaka nane hata mtoto?...well, sio ishu! Basi hata kufunga ndoa?...
 
Shyrose anasogea taratibu kule CDM maana anaona ccm hawamthamini,2015 sio mbali
 
Jafarai naona bado ni mtoto yani anaongelea mambo ya chumbani kwenye vyombo vya habari tena bila kificho. Namshauri huyu dogo atulie ili ajue nini cha kufanya. Yaani kaeleza kila kitu mpaka aibu.
 
Jafarai naona bado ni mtoto yani anaongelea mambo ya chumbani kwenye vyombo vya habari tena bila kificho. Namshauri huyu dogo atulie ili ajue nini cha kufanya. Yaani kaeleza kila kitu mpaka aibu.

Katumwa huyo!
Huenda dau na mazagazaga mengine ili kumtoa nishai Sugu
 
Hao wanajuana wao kwa wao bwana hata kama ni kicheche nafikiri angetumia busara zaidi na kukaa kimya kuliko kuanza kuongelea ishu kama hizo tena public halafu kuzipeleka facebook na unaanza kumtrash mtu

Bora facebook ifungwe kama mambo yakijinga yanatangaziwa humo.
 
Nadhani sasa clouds watapata visngizio kwenye persona issues.

msiwa bebeshe lawama Clouds, mda huu tu ametoka Eatv kuliongelea swala ili. Jaffarai anaonekana kuchanganyikiwa kwa kweli anahitaji ushauri.
 
Aliruhusu kuwa used mwnyw so akome.. Inafurahisha mwanaume akilizwa na mdada maana cku zote wanawake ndo wanalalama kulizwa!!


Kuachwa ni shughuli eti..unaweza kuwa kichaa ukafanya mambo tofauti na binadamu wa kawaida!


@Jaffaryhmes kama unaingia humu au washkaji watakupatia ujumbe huu:

Fanya Re-mix ya " Msinitafuteee..niko Busy"... si umeachika sasa? Kazana kutunga verse kwa sana...acha kumchana mwanamke uliyemwabudu kwa miaka 8! Ungekuwa husband material ungemuoa. Mwenzio hadi anafikia 42 years.... unamchelewesha tu..hujui wanawake wanapenda kuolewa?
 
Jafarahi anasema SUGU katembea na Demu wake (SHYROSE BHAJI)ndo maana kamwacha,live on xxl leo mchana ..`publicist nyingine bwana..Thats a Punk Move..am dissapointed on him and those clouds media for trying to make another move to mr 2.
 
Back
Top Bottom