Wapendwa mliokuwa mkisiiliza redio clouds fm mchana akika nilikuwa nakaribia kutoa machozi.....Mume wa shyrose banji ameweka wazi tatizo lilopo na mkewe na kusema shdida kubwa ni mbunge wa mbeya chadema..aka SUGU..akiwa anaongea kwa uchungu anasema unajua bwana mimi naamin ipo siku yule dada atanikumbuka nilimpenda na kumheshimu na umri wake mkubwa lakini siku moja rosegarden nikamuuliza unajua naambiwa sugu mnakuwa nae sana marakwa mara nakuonya aibu yako yangu..uchafu wako wangu..akadai unajua mh alikuwa ananitaka yaani kila akiniluza maswali hasa ni kuhuusu wewe unanifikishaje unanijalije...jamaa akasema unaonaje tumtoe nishai binti akasema apana...ndipo majuzi walipokutwa live wakiwa ndan ya bashaha mkewe na huyo mh..jamaa aanadai ameumia sana akampigia sugu na sugu akasema unajua bana samahana i bana unajua binti ndio alintia majaffer ila siko nae tena hayo wanaoendeelza n majungu...jafeer akaulizwa na mtangazaji ulimuliza mkeo alitumia zana akadai akutaaka hata kumjibu
ushauri wangu
JAFFER NAJUA UMEUMIA SANA SANA SANA...ILA KWA JINSI ULIVYO NISINGEFIKIRI MAHUSIANO YAKO UWEKE KWENYE MAREDIO MACHAFU KAMA CLUODS FM..NDIO MAANA WALIKUWA WAKIKUHADAA NA NYIMBO ZA ZARAU..MAHUSIAANO YANAMALIZWA NA NYIE WENEYWE HILI NI SMSAADA KWA NIABAYA PDIDY...KMA UTAITAJI WA MAREKAN NIKO NJIAN KUKUPATIA NI PM..POLE SANA WALE WOTE WALIOKUWA WAKIKUPA POLE NA PAMOJA NA MTANGAZAJI N WANAFIKI
POLE SANA
hamna jipya hapo sio sugu tu anayemega...
huyo dada ni jamvi la wageni jamani tuache hata kumjadili jafari anatumiwa na clouds kumjibu madongokwani jaffer ndo wa kwanza?!
Give me break..... Unasupport upuuzi huu wa Jafarai. To me angeishia tu kulaani kuporwa mwanamama wake, coz sio demu kwa kuwa umri umeenda, lakini sio kumtangaza dunia nzima kuwa ni kicheche mzee na kutuambia kuwa ana miaka 42. Je amejua sasa kuwa limama lake ni lizee?? Amekuwa naye for years, wakati wote huo hakujua kuwa ni mzee. Jamani wasanii wa bongo hata kama shule hamkwenda lakini ukimtukana mtu katika mass media kama facebook unajiweka katika mazingira ya kushtakiwa kwa defamation of character, au abusing na ukaishia kufungwa bure. Mapenzi ndivyo yalivyo, ukiona yamekuzidi unachomoka kimyakimya and move forward
Shyrose ana kila kitu kinachohitajika kwa mwanamke mwenye maisha bora.
Tatizo wanaume anaokutana nao wanawaza kupiga pamba, kula chipsi kuku kwenye mahoteli na ma-pub, na hata kusafiri.
Kumbe yeye (Shyrose anataka kitu tofauti kabisaaaaaaaaaaaa). Anataka mwanaume anayejua "KUSUKUMIZIA DAWA".
Kama hamuwezi kumsukumizia dawa, basi msilalamike kwenye maredio. Nyie endeleeni kuuza sura kwenye migahawa, wakati wanaume wa shoka wanafanya kazi inayostahili kwa mwanamke rijali.
piga dozi asubuhi, mchana, jioni, usiku,alfajiri, asubuhi, bafuni, sebuleni, chumbani, kwenye kochi, mezani, sakafuni, jikoni, kitandani, kwenye gari. Sukuma dawa. Utaona kama atakukimbia. Lazima atulie. That is what real men do. That's what real women want.
Kulalama kwenye TV ni kujidhalilisha.
Hivi Shyrose ni Mwanamke wa kumjadili hivi?
Hawa ndiyo wale vijana wanaopenda vitu vya dezo!!Mtoto mdogo ina mana alilazimishwa?!..sharo baro tu nae, si angeachana na shy kitambo kama alijua ni kicheche mzee!!
Hivi Shyrose ni Mwanamke wa kumjadili hivi?maana kuna treads zaid ya 3 juu ya huu Mlupo apa JF!.kwa wanaemjua huyu mdada watakubaliana nami kuwa afai ata kuwa GF wa kingwendu.
Namimi nnamshangaa Jafarai kuishi for all this 8 yrs na hu mcharuko.Shyrose ni Jamvi la wageni
Jafarai amekosa busara.. Sidhani kama nitakuja kusikiliza nymbo zake tena.. Pamoja na kumtuhumu na kumtangaza redioni, Shy ni mtu maarufu na mwenye heshma kwenye jamii. Hakutakiwa kumfanyia hvyo.. Pamoja na madudu yake, whch is too personal, mi namuheshmu sana yule dada.. Si kwamb hakuona wanaume.. Ila alikupenda wewe Jafari.. Hukutakiwa kutumia media tena ya hao mafala kumdhalilisha dada wa watu.. Mbona wakat unamtongoza au anakutongoza hukutumia media..? Huo umri wake umeona leo? Binafsi imeniuma sana, nilizma redio.. Ilitakiwa ugundue Clouds wanakuhadaa tu.. Ile redio ipo kimaslah ya wachache mno, ambao wanawatumia watu kama wewe kuipa umaarufu.. Hukujua kama hyo ni mambo ya kisiasa na ni mbnu chafu..? Umelipwa shng ngap sas? Inaniuma coz mi ninamilik mdada mkubwa kama wewe, na unamjua ana heshma kubwa nch nzima, ila si mpuuz km wew! NINAMUHESHMU. Karibu Switz upunguz mawazo.
Dogo huyu akili zake zimeenda jau....kama amuita kicheche mzee hakuona uzee wake b4?Kwa wale walockiliza XXL ya leo, ninauhakika mlimsikiliza msanii Jaffarai akilia kwamba kaporwa mke na Mr. Sugu ambaye ndiye mbunge wa Mbeya mjini. Huyo huyo msanii kaenda facebook yake na kuweka haya maneno
Jaffarai Jaffarhymes
nimeachana na shyrose bhanji (kicheche mzee) baada ya kugundua km anatoka kimapenzi na mr 2... ni aibu sana kwa mwanamke mwenye miaka 42 kua kicheche kiac hicho!!!! nilitegemea mtu km mr 2 angeanza kufanya harakati ktk mziki wetu lkn harakati zake zimehamia kwenya mapenzi na madem wa wasanii wenzake... ni aibu kubwa sana
Nadhani cha cha Mafisadi ikishirikiana na Ruge Mutahaba wanajaribu kumchafua SUGU na Chadema kumtumia huyu Jaffarai. noma sana mwanamme mzima kulia kama mtoto kisa kanyang'ang'ywa mke.
Wanabodi, tuwe waangalifu kidogo kusifia matendo yasiyo na maana kwenye jamii... Kitendo cha sugu kama ni kweli hakikubaliki, yeye ni taswira ya taifa, kitendo cha jafari nacho ndio cha kipumbavu kuliko vyote, yani mkeo anatiwa wewe unakimbilia kuongea na akina xxl? muli B , Shoga adam mchomvu au DJ Fetty kweli? tena mkeo wa dnoa unaenda kumuanika kwa vitoto hata havijabalehe?
Nadhani tuna matatizo sana ya kuheshimu marriage institutue
kinachosikika kitaani jamaa nasikia wanamtoboa mfuko wa mbolea......Hivi Adam Mchomvu ni Shoga? Mnijuze vizuri wana JF