Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

hao xxl walitaks waliwe wao? Tushawazoea wanafiki because sugu alisema ukweli wao ktk antivirus mixtape ndo wanatafuta jinsi ya kumpaka unafkiri hatujui kuwa most of xxl panel ni machoko! Au mnataka sugu awachokoe na nyie nini? Machali wa chuga town hatukogo hivo nyie niaje lakini?
 
Jafarai amekosa busara.. Sidhani kama nitakuja kusikiliza nymbo zake tena.. Pamoja na kumtuhumu na kumtangaza redioni, Shy ni mtu maarufu na mwenye heshma kwenye jamii. Hakutakiwa kumfanyia hvyo.. Pamoja na madudu yake, whch is too personal, mi namuheshmu sana yule dada.. Si kwamb hakuona wanaume.. Ila alikupenda wewe Jafari.. Hukutakiwa kutumia media tena ya hao mafala kumdhalilisha dada wa watu.. Mbona wakat unamtongoza au anakutongoza hukutumia media..? Huo umri wake umeona leo? Binafsi imeniuma sana, nilizma redio.. Ilitakiwa ugundue Clouds wanakuhadaa tu.. Ile redio ipo kimaslah ya wachache mno, ambao wanawatumia watu kama wewe kuipa umaarufu.. Hukujua kama hyo ni mambo ya kisiasa na ni mbnu chafu..? Umelipwa shng ngap sas? Inaniuma coz mi ninamilik mdada mkubwa kama wewe, na unamjua ana heshma kubwa nch nzima, ila si mpuuz km wew! NINAMUHESHMU. Karibu Switz upunguz mawazo.
 
Wapendwa mliokuwa mkisiiliza redio clouds fm mchana akika nilikuwa nakaribia kutoa machozi.....Mume wa shyrose banji ameweka wazi tatizo lilopo na mkewe na kusema shdida kubwa ni mbunge wa mbeya chadema..aka SUGU..akiwa anaongea kwa uchungu anasema unajua bwana mimi naamin ipo siku yule dada atanikumbuka nilimpenda na kumheshimu na umri wake mkubwa lakini siku moja rosegarden nikamuuliza unajua naambiwa sugu mnakuwa nae sana marakwa mara nakuonya aibu yako yangu..uchafu wako wangu..akadai unajua mh alikuwa ananitaka yaani kila akiniluza maswali hasa ni kuhuusu wewe unanifikishaje unanijalije...jamaa akasema unaonaje tumtoe nishai binti akasema apana...ndipo majuzi walipokutwa live wakiwa ndan ya bashaha mkewe na huyo mh..jamaa aanadai ameumia sana akampigia sugu na sugu akasema unajua bana samahana i bana unajua binti ndio alintia majaffer ila siko nae tena hayo wanaoendeelza n majungu...jafeer akaulizwa na mtangazaji ulimuliza mkeo alitumia zana akadai akutaaka hata kumjibu

ushauri wangu

JAFFER NAJUA UMEUMIA SANA SANA SANA...ILA KWA JINSI ULIVYO NISINGEFIKIRI MAHUSIANO YAKO UWEKE KWENYE MAREDIO MACHAFU KAMA CLUODS FM..NDIO MAANA WALIKUWA WAKIKUHADAA NA NYIMBO ZA ZARAU..MAHUSIAANO YANAMALIZWA NA NYIE WENEYWE HILI NI SMSAADA KWA NIABAYA PDIDY...KMA UTAITAJI WA MAREKAN NIKO NJIAN KUKUPATIA NI PM..POLE SANA WALE WOTE WALIOKUWA WAKIKUPA POLE NA PAMOJA NA MTANGAZAJI N WANAFIKI

POLE SANA

ulikaribia kutoa machozi?!, kwani wewe na SB mukoje?. Acha u shakumbenga. Nilikuwa nashauri tu.
 
Wanabodi, tuwe waangalifu kidogo kusifia matendo yasiyo na maana kwenye jamii... Kitendo cha sugu kama ni kweli hakikubaliki, yeye ni taswira ya taifa, kitendo cha jafari nacho ndio cha kipumbavu kuliko vyote, yani mkeo anatiwa wewe unakimbilia kuongea na akina xxl? muli B , Shoga adam mchomvu au DJ Fetty kweli? tena mkeo wa dnoa unaenda kumuanika kwa vitoto hata havijabalehe?

Nadhani tuna matatizo sana ya kuheshimu marriage institutue
 
Give me break..... Unasupport upuuzi huu wa Jafarai. To me angeishia tu kulaani kuporwa mwanamama wake, coz sio demu kwa kuwa umri umeenda, lakini sio kumtangaza dunia nzima kuwa ni kicheche mzee na kutuambia kuwa ana miaka 42. Je amejua sasa kuwa limama lake ni lizee?? Amekuwa naye for years, wakati wote huo hakujua kuwa ni mzee. Jamani wasanii wa bongo hata kama shule hamkwenda lakini ukimtukana mtu katika mass media kama facebook unajiweka katika mazingira ya kushtakiwa kwa defamation of character, au abusing na ukaishia kufungwa bure. Mapenzi ndivyo yalivyo, ukiona yamekuzidi unachomoka kimyakimya and move forward

Nakuunga mkono kabisa, kwani kuachwa yeye ni wa kwanza? Isitoshe hawajafunga ndoa, watu wanaachana kwenye ndoa za miaka 20 na watoto lukuki lakini hawafanyi mambo anayofanya yeye. Inabidi atambue kuwa huyo anayemuita kicheche mzee ndiye aliyemuweka mjini kwa miaka yote 8, amempa good life mpaka akajisahau na kuwa kama mwanaume binti. Sasa ni vizuri amheshimu kwa msaada aliompa. Yeye kama ameshindwa kuitumia opportunity aliyokuwa nayo kujijenga kimaisha na kuweza kusimama kwa miguu yake ni ujinga wake. Maana haikuwa ndoa kuwa wataishi milele. Piaa yeye anabwabwaja kwenye media zote haoni kama anajidharaulisha, ni vizuri angeeleza ukweli kuwa ameachwa na yale mapesa na good life haipo tena, ndiyo maana kapanick. Kaniudhi sana, siajabu yeye ndiyo jinga jinga, zembe, malaya ila ti Shyrose kaamua kunyamaza na sisi hatujui upande wa pili. Mpaka uachwe si lazima kulikuwa na tatizo, mbona haelezi tatizo anang'ang'ania kuwa ni kicheche! Mwaya Shy wewe mpotezee, wala usimjibu usije ukajishushia hadhi, aseme apendacho yatasemwa lakini yataisha. Ila achana na Serengeti boys, maana hizo ndiyo shukrani zao, na hivi hana pesa ndiyo atatumiwa wee na maadui zako.
 
Shyrose ana kila kitu kinachohitajika kwa mwanamke mwenye maisha bora.

Tatizo wanaume anaokutana nao wanawaza kupiga pamba, kula chipsi kuku kwenye mahoteli na ma-pub, na hata kusafiri.

Kumbe yeye (Shyrose anataka kitu tofauti kabisaaaaaaaaaaaa). Anataka mwanaume anayejua "KUSUKUMIZIA DAWA".

Kama hamuwezi kumsukumizia dawa, basi msilalamike kwenye maredio. Nyie endeleeni kuuza sura kwenye migahawa, wakati wanaume wa shoka wanafanya kazi inayostahili kwa mwanamke rijali.

piga dozi asubuhi, mchana, jioni, usiku,alfajiri, asubuhi, bafuni, sebuleni, chumbani, kwenye kochi, mezani, sakafuni, jikoni, kitandani, kwenye gari. Sukuma dawa. Utaona kama atakukimbia. Lazima atulie. That is what real men do. That's what real women want.

Kulalama kwenye TV ni kujidhalilisha.

Mkulu umenifurahisha mno...nakugongea kasanks...
 
SUGU MOTO CHINI.... hata hivo vicoko vikitumia hiyo media kumdhalilisha hakuna effect yoyote hapo. Karibu CHADEMA mrembo huku utapata kila kitu kuanzia Ubunge, Malavidavi na kila kitu na muhimu sana maarifa. Achana na wauza sura wa Dar, msanii mwenyewe hajawahi hata kuwa na hit song hata siku moja, sio mpambanaji kama mh. SUGU na ni DODOKI LA HAKO KA REDIO:clap2:
 
Shy-Rose,
Najua upo hapa JF, naomba usijibu lolote kwenye media yoyote nyamaza kimya kama ulivyofanya. Nakushauri nenda kwa kiongozi yoyote wa Dini, kwa vile majina yako yana Uislamu na Ukristo basi waone Sheikh Sulemain Kilemile au Mama Rwakatare watakupa maneno ya kukutia moyo na faraja.

Unahitaji sana muongozo wa kiroho kuliko kitu chochote, wine haitakusaidia wakati huu nakuomba usianze mahusiano yoyote wakati huu kwanza na kama unayo yasitishe kwanza unahitaji muda wa ukimya sana. Ukilishika jambo hili vibaya litakuharibia hata kazi yako pia. Haya ni mapito tu mama- tafuta wimbo wa Ambwene Mwasongwe- Majaribu ni Mtaji utakusaidia pia soma hizi verses

Be strong and courageous. Do not be afraid or terrified because of them, for the LORD your God goes with you; he will never leave you nor forsake you."Deuteronomy 31:6

he name of the LORD is a strong tower; the righteous run to it and are safe."
Proverbs 18:1

Pia kutoka kwenye Koran soma mstari huu:
Suarat al baqarah
002.045 Nay, seek (God's) help with patient perseverance and prayer: It is indeed hard, except to those who bring a lowly spirit.
 
Hivi Shyrose ni Mwanamke wa kumjadili hivi?maana kuna treads zaid ya 3 juu ya huu Mlupo apa JF!.kwa wanaemjua huyu mdada watakubaliana nami kuwa afai ata kuwa GF wa kingwendu.
Namimi nnamshangaa Jafarai kuishi for all this 8 yrs na hu mcharuko.Shyrose ni Jamvi la wageni

huyu jama atakuwa kachukuliwa msukule na shyrose namshauri aende kwa ASKOFU GWAJIMA akatolewe maruhani aliomwagiwa ...loh poor jafarai..yaani nimesikitika kama mwanaume mwenzangu na anadai kabisa ..alimpenda kwa dhati wee unaweza kumpenda mamako kwa dhati yule kama mamake kabisa laana ziningne mnazitafuta wenyewe
 
Jafarai amekosa busara.. Sidhani kama nitakuja kusikiliza nymbo zake tena.. Pamoja na kumtuhumu na kumtangaza redioni, Shy ni mtu maarufu na mwenye heshma kwenye jamii. Hakutakiwa kumfanyia hvyo.. Pamoja na madudu yake, whch is too personal, mi namuheshmu sana yule dada.. Si kwamb hakuona wanaume.. Ila alikupenda wewe Jafari.. Hukutakiwa kutumia media tena ya hao mafala kumdhalilisha dada wa watu.. Mbona wakat unamtongoza au anakutongoza hukutumia media..? Huo umri wake umeona leo? Binafsi imeniuma sana, nilizma redio.. Ilitakiwa ugundue Clouds wanakuhadaa tu.. Ile redio ipo kimaslah ya wachache mno, ambao wanawatumia watu kama wewe kuipa umaarufu.. Hukujua kama hyo ni mambo ya kisiasa na ni mbnu chafu..? Umelipwa shng ngap sas? Inaniuma coz mi ninamilik mdada mkubwa kama wewe, na unamjua ana heshma kubwa nch nzima, ila si mpuuz km wew! NINAMUHESHMU. Karibu Switz upunguz mawazo.

kama ana heshima mbona anfungua XXX yake ovyo jamani embu mliokaribu mwabien ajiheshimu alaahh
 
Kwa wale walockiliza XXL ya leo, ninauhakika mlimsikiliza msanii Jaffarai akilia kwamba kaporwa mke na Mr. Sugu ambaye ndiye mbunge wa Mbeya mjini. Huyo huyo msanii kaenda facebook yake na kuweka haya maneno

Jaffarai Jaffarhymes
nimeachana na shyrose bhanji (kicheche mzee) baada ya kugundua km anatoka kimapenzi na mr 2... ni aibu sana kwa mwanamke mwenye miaka 42 kua kicheche kiac hicho!!!! nilitegemea mtu km mr 2 angeanza kufanya harakati ktk mziki wetu lkn harakati zake zimehamia kwenya mapenzi na madem wa wasanii wenzake... ni aibu kubwa sana
Nadhani cha cha Mafisadi ikishirikiana na Ruge Mutahaba wanajaribu kumchafua SUGU na Chadema kumtumia huyu Jaffarai. noma sana mwanamme mzima kulia kama mtoto kisa kanyang'ang'ywa mke.
Dogo huyu akili zake zimeenda jau....kama amuita kicheche mzee hakuona uzee wake b4?
.....
..sugu mega jimama hilo nasikia tamu kweli....miaka 8 ikiisha lije kwangu nilimege na mie....
 
Wanabodi, tuwe waangalifu kidogo kusifia matendo yasiyo na maana kwenye jamii... Kitendo cha sugu kama ni kweli hakikubaliki, yeye ni taswira ya taifa, kitendo cha jafari nacho ndio cha kipumbavu kuliko vyote, yani mkeo anatiwa wewe unakimbilia kuongea na akina xxl? muli B , Shoga adam mchomvu au DJ Fetty kweli? tena mkeo wa dnoa unaenda kumuanika kwa vitoto hata havijabalehe?

Nadhani tuna matatizo sana ya kuheshimu marriage institutue

Hivi Adam Mchomvu ni Shoga? Mnijuze vizuri wana JF
 
Back
Top Bottom