Jafo: Vingunguti, Tandale na Buguruni pavunjwe pajengwe Maghorofa

Jafo: Vingunguti, Tandale na Buguruni pavunjwe pajengwe Maghorofa

Huyo alikuwa Waziri wa TAMISEMI, atuambie wakati ni waziri alifanya nini kutekeleza hayo ambayo leo anataka yafanyike?

CCM wanatulaghai kwamba wakijazana wenyewe bungeni wanaweza kuikosoa na kuishauri serikali ila ni utapeli mtupu.
hili nalo fikirishi sana,

Buguruni HAPO vingunguti, huwa pananisikitisha SANA, KWA NINI hao WATU wasilipwe pashushwe ghorofa za KUFA MTU mambo mengine tuweke siasa pembeni hiyo njia ni potential SANA kuelekea airport, taifa, kariakoo, hapapaswi kiwa hivyo, pavunjwe pajengwe kisasa Niko na WEWE jafo, ASANTE kunwakilisha kaka
wawe makini tu kwenye planning, kusije kua na malalamiko kama ya kota za magomeni
 
Mwamba mmoja ameishauri kuvunja maeneo ya pembezoni kama Buguruni, Vingunguti, Tandale na maeneo mengine ili kujenga maghorofa na kuupa hadhi Mkoa Dar es Salaam.

Haha swali mkivunja wananchi wakaishi wapi?

Hayo majengo mnayotaka kujenga pamekosekana sehemu nyingine mpaka buguruni vingunguti???

Na je hayo magorofa unayotaka huko kwako hakuna sehemu ya kujenga kwann usishauri waje kukujengea huko najua mapiri yamejazanaa ila wanaweza kuwafikiria[huu ushairo tu]

Kwa style hiii watu wa manzese mjiandaee ila fanyeni yoote wachaga wa kmr msikae hata kuwataja huko mnapoongelea.

All the best
 
Dar ni chafu sana kimpangilio inahitajika kusafishwa

IMG_6383.jpeg
 
Naunga mkono hoja serikali inatakiwa ije na mpango mwingine juu ya mpangilio wa makazi ya watu na nyumba bora kwani mbona wakoloni walipangilia vizuri miji yao na walijenga nyumba nzuri nini kilibadilika baada ya uhuru?
 
Mwamba mmoja ameishauri kuvunja maeneo ya pembezoni kama Buguruni, Vingunguti, Tandale na maeneo mengine ili kujenga maghorofa na kuupa hadhi Mkoa Dar es Salaam.

Haha swali mkivunja wananchi wakaishi wapi??

Hayo majengo mnayotaka kujenga pamekosekana sehemu nyingine mpaka buguruni vingunguti???

Na je hayo magorofa unayotaka huko kwako hakuna sehemu ya kujenga kwann usishauri waje kukujengea huko najua mapiri yamejazanaa ila wanaweza kuwafikiria[huu ushairo tu]

Kwa style hiii watu wa manzese mjiandaee ila fanyeni yoote wachaga wa kmr msikae hata kuwataja huko mnapoongelea.........

All the best
Kuwa positive. Hii ndio njia ya kuondoa makazoi holela. Wakati ujenzi unaendelea wanapewa hela ya kodi muda wote wa ujenzi(wamiliki) ujenzi ukikamilika wanapewa nyumba kila mmiliki..
 
Unapinga bure tu. Tandale pale ni sehem nzur.wale wote wanahamishwa kwa muda na ujenzi wa complex ukikamilika wanarudi. Wenye viwanja wanawekwa on spot y kupata wawekezaj ambao watainvest na kuingia joint venture. Unaweza kuta zile nyumba mffano tandale ambazo dirisha la mtu nje ni mtaro mwenye nyumba wala hakai pale yupo zake kisemvule huko.pale kapangisha.kwa nin serikal isiwatambue na kuwa force waingie mikataba na kujenga kitu kadiri muwekezaj atavohitaj na mwenye kiwanja kama kweli vyao na wana hati wanapata mapato. Msishindane na serikal kwanza watu wa nemc wanaweza kuwaambien hapo zaman master plan inasema ni swampy area mpo kinyume mnagongwa notisi.
Daktari Jafo yupo sahihi
 
Naunga mkono hoja serikali inatakiwa ije na mpango mwingine juu ya mpangilio wa makazi ya watu na nyumba bora kwani mbona wakoloni walipangilia vizuri miji yao na walijenga nyumba nzuri nini kilibadilika baada ya uhuru?
Ulibadilika uongozi.
Huo ndiyo hubuni na kusimamia mipango bora ya maendeleo na makazi.
 
Mwamba mmoja ameishauri kuvunja maeneo ya pembezoni kama Buguruni, Vingunguti, Tandale na maeneo mengine ili kujenga maghorofa na kuupa hadhi Mkoa Dar es Salaam.

Haha swali mkivunja wananchi wakaishi wapi??

All the best
Kwani walipovunja Magomeni Kota, wenyeji waliishi wapi?. Sasa baada ya mradi kukamilika si wanaishi wao!.

Mandate ndio mitaa yangu, waje wavunje, tuhamie Mbagala kibonde maji kwa muda, pakikamilika turudi, na sisi tukae ghorofani jameni, kila siku kuwaona tuu wenzetu wako juu maghorofani, huku wanatupiga tuu deo za wake zetu kwenye passport size, na mwisho wa siku kuishia kuwatokea !.
P
 
Hizi siyo nyumba bali ni uchafu. Zivunjwe zote na zijengwe nyumba za ghorofa na hao waliovunjiwa wapewe unit hapo. Watakaokuwa wamepewa hizo sehemu, watarudisha pesa yao kwa kupangisha units zingine kufidia gharama. Lakini hivi vibanda vichafu vivunjwe vyote na ziwekwe barabara na sewage systems.
 
Kuwa positive. Hii ndio njia ya kuondoa makazoi holela. Wakati ujenzi unaendelea wanapewa hela ya kodi muda wote wa ujenzi(wamiliki) ujenzi ukikamilika wanapewa nyumba kila mmiliki..
Unanikumbusha mambo ya NERO ya Warumi. " tuchome mji huu kwani unanuka.."
 
KAKA APASCAL HAYA MAMBO UNAJUANBANA WEWE DIO WOTE WALIOBOMOLEWA PALE MAGOMENI WALIRUDI PALE KAKA

WENGINE WALIKUTA VYUMBA VIMEJAA WAKAAMBIWA WAPEWE HELA WAKANZA KULALAMIKA MPAKA MITANDAON NA MAGAZETINI


HIZI PROJECT WANSZIWEZA NJE SIO SISI WATU WAKIJENGA MJENGO IMANI INAWATOKA KABISAA KABISA MKUU

MANISHIA KUPATA LAANA..HUYU HAKUWA NA NIA YA KUSAIDIA ANA TIMING ZAKE MKUU WAOGOPE SANA
 
Kwani walipovunja Magomeni Kota, wenyeji waliishi wapi?. Sasa baada ya mradi kukamilika si wanaishi wao!.

Mandate ndio mitaa yangu, waje wavunje, tuhamie Mbagala kibonde maji kwa muda, pakikamilika turudi, na sisi tukae ghorofani jameni, kila siku kuwaona tuu wenzetu wako juu maghorofani, huku wanatupiga tuu deo za wake zetu kwenye passport size, na mwisho wa siku kuishia kuwatokea !.
P
Hizo hapo zilivyo siyo nyumba, wala haifai hata kuita vibanda.......Yavunjwe, na yajengwe makazi mapya, watakaovunjiwa wapewe units kwenye hayo maghorofa. Watakaojenga watajilipa kwa kupangisha watu wengine watakaohitaji makazi ya kupangisha au kama watanunua ni sawa. Hizo siyo nyumba, labda mabanda ya kuku.
 
Back
Top Bottom