Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 9,288
- 9,062
Naona umesisitiza hoja.Tunataka barabara, sewage systems, maji na umeme wa uhakika. Hizo ni slums ambazo hazifai hata kukalika.
Naona umesisitiza hoja.Tunataka barabara, sewage systems, maji na umeme wa uhakika. Hizo ni slums ambazo hazifai hata kukalika.
Tatizo la Migomigo, baadhi ya nyumba walikutwa wapangaji, ndio wakaandikishwa , nyumba zimekamilika, wanaibuka wenye nyumba kutaka units, huku wapangaji wameisha milikishwa.KAKA APASCAL HAYA MAMBO UNAJUANBANA WEWE DIO WOTE WALIOBOMOLEWA PALE MAGOMENI WALIRUDI PALE KAKA
WENGINE WALIKUTA VYUMBA VIMEJAA WAKAAMBIWA WAPEWE HELA WAKANZA KULALAMIKA MPAKA MITANDAON NA MAGAZETINI
HIZI PROJECT WANSZIWEZA NJE SIO SISI WATU WAKIJENGA MJENGO IMANI INAWATOKA KABISAA KABISA MKUU
MANISHIA KUPATA LAANA..HUYU HAKUWA NA NIA YA KUSAIDIA ANA TIMING ZAKE MKUU WAOGOPE SANA
Kwani mkuu wewe unaonaje yale maeneo ya Tandale hayapaswi kuboreshwa?Unanikumbusha mambo ya NERO ya Warumi. " tuchome mji huu kwani unanuka.."
Ana hoja. Swali kwa nini hata maeneo mapya hayapangwi bado yanajengwa kiholela. Mfano chanika. Mbande etc
ANZA KUVUNJA KISARAWE KWANZA MJE BUGURNIMbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo, akizungumza Bungeni Februari 5, 2026, ameishauri Serikali kuvunja maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, yakiwemo Buguruni, Vingunguti na Tandale, ili kujenga maghorofa na kupendezesha jiji hilo.
Kisarawe na Dar yote ni Tanzania.i dont understand, mbunge wa kisarawe anataka magorofa yajengwe dar? kwani huko kisarawe matatizo yameisha hadi aingilie mambo ya mkoa mwingine? kwa nini asijishighulishe zaidi na mambo ya jimboni na mkoani kwake kwanza? ...
Ni wazo zuri sana, lakini kwenye nyumba za urithi kutakuwa na mushkeli kidogo na ningependa pia kumshauri kisarawe asisubiri pawe kama Kariakoo na Magomeni au Tandale yeye asimamiye mipango miji ya kisasa itakayowezesha Kisarawe kuwa kama Rwanda.Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo, akizungumza Bungeni Februari 5, 2026, ameishauri Serikali kuvunja maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, yakiwemo Buguruni, Vingunguti na Tandale, ili kujenga maghorofa na kupendezesha jiji hilo.
CCM huwa hawawezi kushugulika na mambo magumu yanohitaji kutumia akili kubwa na usimamizi thabiti wa sheria, mfano suala la Wamachinga kufanya biashara barabarani limewashinda kabisa kutatua kabisa.hilo swali hua najiuliza kila siku shida ipo wapi ya kuamua kwamba ujenzi holela sasa marufuku, maana muda unakwenda na ujenzi holela unaendelea tu kwenye miji mpya inayochipukia, na wakati watu wa mipango watu ardhi wapo
Kilichobadilika ni aina ya watu na uwezo wao wa akili.Naunga mkono hoja serikali inatakiwa ije na mpango mwingine juu ya mpangilio wa makazi ya watu na nyumba bora kwani mbona wakoloni walipangilia vizuri miji yao na walijenga nyumba nzuri nini kilibadilika baada ya uhuru?
Wahamie vikindu au homboza wapewe viwanja Bure na fidia juu yakeMwamba mmoja ameishauri kuvunja maeneo ya pembezoni kama Buguruni, Vingunguti, Tandale na maeneo mengine ili kujenga maghorofa na kuupa hadhi Mkoa Dar es Salaam.
Haha swali mkivunja wananchi wakaishi wapi?
Hayo majengo mnayotaka kujenga pamekosekana sehemu nyingine mpaka buguruni vingunguti???
Na je hayo magorofa unayotaka huko kwako hakuna sehemu ya kujenga kwann usishauri waje kukujengea huko najua mapiri yamejazanaa ila wanaweza kuwafikiria[huu ushairo tu]
Kwa style hiii watu wa manzese mjiandaee ila fanyeni yoote wachaga wa kmr msikae hata kuwataja huko mnapoongelea.
All the best
Hayana vibali vya ujenzi, na zile nyumba zinaweza kubomolewa bila kulipiwa fidia.Kwa hiyo Chanika na Mbande unapimiwa miguu na kuonyeshwa mnazi kama mpaka, unanunua, unajenga. Hakuna ramani ya kiwanja wala ramani ya mipango miji.
Unapataje kibali cha ujenzi ?
Uchumi wa watu wa maeneo hayo hauendani na maghorofa. Hawezi kuuza genge, 'kiosks', gongo, ubuyu, mkaa, miguu ya kuku, uduvi, mamantilie, chips zege, 'kinyozi etcMada imetawaliwa na chuki za kisiasa. Njia mojawapo ya kuondoa makazi holela ni hio. Kubomoa vibanda vibovu vilivyokaa bila mpangilio na kujenga makazi ya jumuia huku kila aliekuwa na nyumba hapo anapewa nyumba moja.
Hilo ndiyo lengo kuu, pangisha apartment buguruni uende ukaishi Mabwepande au Chanika. There's nothing wrong with that.Uchumi wa watu wa maeneo hayo hauendani na maghorofa. Hawezi kuuza genge, 'kiosks', gongo, ubuyu, mkaa, miguu ya kuku, uduvi, mamantilie, chips zege, 'kinyozi etc
Happ hakuna kuwajengea makazi, ni kufurusha watu.
Uchumi wangu unategemea niwepo Buguruni. Biashara yangu ya mapupu inategemea niwe naishi vingunguti.Hilo ndiyo lengo kuu, pangisha apartment buguruni uende ukaishi Mabwepande au Chanika. There's nothing wrong with that.
Labda bado yuko na mawazo ya uwaziri.i dont understand, mbunge wa kisarawe anataka magorofa yajengwe dar? kwani huko kisarawe matatizo yameisha hadi aingilie mambo ya mkoa mwingine? kwa nini asijishighulishe zaidi na mambo ya jimboni na mkoani kwake kwanza? ...