Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
kumbe mrembo nawewe unakaa tandale? Njoo UNUNIO nikupe chumba masta kwangu buree ukae!Ana bawasiri nini?
kumbe mrembo nawewe unakaa tandale? Njoo UNUNIO nikupe chumba masta kwangu buree ukae!Ana bawasiri nini?
Uchuro! Leo umeandika vizuri mkuu!?Mwamba mmoja ameishauri kuvunja maeneo ya pembezoni kama Buguruni, Vingunguti, Tandale na maeneo mengine ili kujenga maghorofa na kuupa hadhi Mkoa Dar es Salaam.
Haha swali mkivunja wananchi wakaishi wapi?
Hayo majengo mnayotaka kujenga pamekosekana sehemu nyingine mpaka buguruni vingunguti???
Na je hayo magorofa unayotaka huko kwako hakuna sehemu ya kujenga kwann usishauri waje kukujengea huko najua mapiri yamejazanaa ila wanaweza kuwafikiria[huu ushairo tu]
Kwa style hiii watu wa manzese mjiandaee ila fanyeni yoote wachaga wa kmr msikae hata kuwataja huko mnapoongelea.
All the best
Kimsingi hii si hoja mbaya. Watu wanaozaana kwa kasi kubwa sana miji yao haiwezi kupanuka kwa chini tu, itawabidi wajenge kwenda juu kudhibiti urban sprawl.Mada imetawaliwa na chuki za kisiasa. Njia mojawapo ya kuondoa makazi holela ni hio. Kubomoa vibanda vibovu vilivyokaa bila mpangilio na kujenga makazi ya jumuia huku kila aliekuwa na nyumba hapo anapewa nyumba moja.
Hayo mambo yalitakiwa kuanza kufanywa toka mwaka 2000 ..eneo la buguruni lilitskiwa kujengwa mji mpya na wakisasa na mahotel..viwanja vipimwe upya na barabara kutanuliwa tumesha chelewa hadi magorofa yanaongezeka hivyo kuwa gharama kubwa kuboresha hayo maeneoMbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo, akizungumza Bungeni Februari 5, 2026, ameishauri Serikali kuvunja maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, yakiwemo Buguruni, Vingunguti na Tandale, ili kujenga maghorofa na kupendezesha jiji hilo.
CCM NI MAVI 👉💩💩💩Buguruni HAPO vingunguti, huwa pananisikitisha SANA, KWA NINI hao WATU wasilipwe pashushwe ghorofa za KUFA MTU mambo mengine tuweke siasa pembeni hiyo njia ni potential SANA kuelekea airport, taifa, kariakoo, hapapaswi kiwa hivyo, pavunjwe pajengwe kisasa Niko na WEWE jafo, ASANTE kunwakilisha kaka
Ila huishi kwenye nchi ya peke yako.Uchumi wangu unategemea niwepo Buguruni. Biashara yangu ya mapupu inategemea niwe naishi vingunguti.
Point nzuri kaka, nakubaliana na wewe, ila yote tisa, kumi eti kuna fununu hujawahi shinda kesi hata moja kama mwanasheria, hebu toa kauli mkuu kuondoa hii sintofahamuKwani walipovunja Magomeni Kota, wenyeji waliishi wapi?. Sasa baada ya mradi kukamilika si wanaishi wao!.
Mandate ndio mitaa yangu, waje wavunje, tuhamie Mbagala kibonde maji kwa muda, pakikamilika turudi, na sisi tukae ghorofani jameni, kila siku kuwaona tuu wenzetu wako juu maghorofani, huku wanatupiga tuu deo za wake zetu kwenye passport size, na mwisho wa siku kuishia kuwatokea !.
P
Utafikiri mabanda ya kuuzia gongo
Wala huhitaji kulipa watu kodi, kinachotakiwa hapo ni serikali kuwapa miaka miwili tu kila mwenye kiwanja ajenge ghorofa kuanzia tano, atakayeshindwa auze kiwanja au aingie mkataba na watu wanaoweza kujenga hivyo, halafu vibali vipya vya ujenzi vinatolewa kwa kiwanja cha kuanzia square meters 800 tu na lazima kuwepo na barabara.Kuwa positive. Hii ndio njia ya kuondoa makazoi holela. Wakati ujenzi unaendelea wanapewa hela ya kodi muda wote wa ujenzi(wamiliki) ujenzi ukikamilika wanapewa nyumba kila mmiliki..
Mhh ishawahi kukushika nini??? Kazi kufirana tuu muone vile.Ana bawasiri nini?
Ni bora Mwarabu auziwe huko tuMwarabu keshauziwa ukiona hivyo. Huyo Jafo ni sehemu tu ya script.
Sii kweli kuwa sijawahi shinda kesi yoyote, bali ni sijawahi Endesa kesi yoyote, fani ya sheria ina maeneo mengi ya practice, uendeshaji mashauri mahajamani, inaitwa litigations, mimi sio wakili wa litigations, mimi ni wakili wa legal opinion, sijawahi kukanyaga mahakamani!.Point nzuri kaka, nakubaliana na wewe, ila yote tisa, kumi eti kuna fununu hujawahi shinda kesi hata moja kama mwanasheria, hebu toa kauli mkuu kuondoa hii sintofahamu
Wataamua wauze au waweke wapangaji wenye uwezo.Uchumi wa watu wa maeneo hayo hauendani na maghorofa. Hawezi kuuza genge, 'kiosks', gongo, ubuyu, mkaa, miguu ya kuku, uduvi, mamantilie, chips zege, 'kinyozi etc
Happ hakuna kuwajengea makazi, ni kufurusha watu.
Wameamua kukaa kwenye makazi yao ya sasa.Wataamua wauze au waweke wapangaji wenye uwezo.
Unajua sheria ya umiliki ardhi ya Tz?Wameamua kukaa kwenye makazi yao ya sasa.
Wa US hawawezi kukubali kuingia kwenye kashfa ya kupora kiwanja. Walifika bei. Kama kuna sababu ya maslahi ya umma ardhi inaweza kuchukuliwa. Serikali haiwezi kufanya gentrification na kudai inafanya maslahi ya umma.Unajua sheria ya umiliki ardhi ya Tz?
Unajua pale ulipo ubalozi wa USA walipataje umiliki wa lile eneo? Pale ilikuwa Drive-in cinema. Ukijua hilo utajua hao wakazi hawana choice zaidi ya kitaka hoamuliwa na serikali.
i dont understand, mbunge wa kisarawe anataka magorofa yajengwe dar? kwani huko kisarawe matatizo yameisha hadi aingilie mambo ya mkoa mwingine? kwa nini asijishighulishe zaidi na mambo ya jimboni na mkoani kwake kwanza? ...