Tafuta taarifa. Serikali ikitaka kujenga hapo vingunguti hakuna wa kuzuia.Wa US hawawezi kukubali kuingia kwenye kashfa ya kupora kiwanja. Walifika bei. Kama kuna sababu ya maslahi ya umma ardhi inaweza kuchukuliwa. Serikali haiwezi kufanya gentrification na kudai inafanya maslahi ya umma.
Kama serikali ina mpunga wa kutosha kuwalipa watu fidia wavunje tu ila wasilete janjajanja kwenye fidia.Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo, akizungumza Bungeni Februari 5, 2026, ameishauri Serikali kuvunja maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, yakiwemo Buguruni, Vingunguti na Tandale, ili kujenga maghorofa na kupendezesha jiji hilo.
Tatizo viwanja vimepimwa kizamani avikuzingatia kanuni za mji wa kisasa...Barabara ni za gari tu hakuna njia ya watembea kwa miguu nk eneo lote la buguruni linatakiwa kuvunjwa na kupimwa na kudizainiwa upya...shule zote zijengwe za kisasa nkWala huhitaji kulipa watu kodi, kinachotakiwa hapo ni serikali kuwapa miaka miwili tu kila mwenye kiwanja ajenge ghorofa kuanzia tano, atakayeshindwa auze kiwanja au aingie mkataba na watu wanaoweza kujenga hivyo, halafu vibali vipya vya ujenzi vinatolewa kwa kiwanja cha kuanzia square meters 800 tu na lazima kuwepo na barabara.
jambo hili walitakiwa kulisimamia haka kwa ubabe au nguvu tusingefika hapa tulipo lakini wao hata kustuka, tumejenga holela kiasi kwamba zile zoezi la anuani za makazi lilipofanyika hata wewe mwenyeji unajiuliza sasa hapa hizi namba watapanga vipi ili ziwe zinaeleweka.CCM huwa hawawezi kushugulika na mambo magumu yanohitaji kutumia akili kubwa na usimamizi thabiti wa sheria, mfano suala la Wamachinga kufanya biashara barabarani limewashinda kabisa kutatua kabisa.
hata neno "kupimwa" hafai kulitumia, viongozi hawa toka wameanza kwenda ulaya ni kama hakuna kitu wamejifunzaTatizo viwanja vimepimwa kizamani avikuzingatia kanuni za mji wa kisasa...Barabara ni za gari tu hakuna njia ya watembea kwa miguu nk eneo lote la buguruni linatakiwa kuvunjwa na kupimwa na kudizainiwa upya...shule zote zijengwe za kisasa nk
Plus kisemvule,vikindu, Kivule,Msongola,Mbondole,kitonga na Mvuti itafuata soon..Ana hoja. Swali kwa nini hata maeneo mapya hayapangwi bado yanajengwa kiholela. Mfano chanika. Mbande etc
Si wanajenga barabara juu fly over mpaka magomeni?? Labda wameshift malengoWalipewa hela za benki ya Dunia kuijenga jangwani mradi wa nyumba za kisasa elfu 14.wamekula
Yap ardhi ni Mali serikali/Rais(ujamaa) lakini haki za binadamu tumezisaini mzee lazima zifuatwe, refer bomoa bomoa Kwa hata wasiohusika kule Mbezi Kimara na bomoa bomoa zingine za nyumba kando kando barabara bila fidia nk mpaka kesi zingine zikiwa mahakamani, Bado ishu ya kuwahamisha wa maasai Ngorongoro nk so naimani serikali haitataka kurudia hayo makosa tenaTafuta taarifa. Serikali ikitaka kujenga hapo vingunguti hakuna wa kuzuia.
Kuna njia za kufuata serikali ikitaka ardhibyako na hutaweza kuzuia. Achana na hizo bomoabomoa anazoamua mtu kwa utashi wake kisa ni waziri sijui diwani. Ila serikali ikilitaka eneo lako mwa maslahi yabtaifa huwezi kuzuia.Yap ardhi ni Mali serikali/Rais(ujamaa) lakini haki za binadamu tumezisaini mzee lazima zifuatwe, refer bomoa bomoa Kwa hata wasiohusika kule Mbezi Kimara na bomoa bomoa zingine za nyumba kando kando barabara bila fidia nk mpaka kesi zingine zikiwa mahakamani, Bado ishu ya kuwahamisha wa maasai Ngorongoro nk so naimani serikali haitataka kurudia hayo makosa tena
Ndio maana wanaitwa wanasiasaHuwa nashindwa kuelewa hawa wanasiasa
Kwa hiyo kubomoa nyumba za wavuja jasho na kujenga maghorofa ya matajiri ni maendeleo ???Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo, akizungumza Bungeni Februari 5, 2026, ameishauri Serikali kuvunja maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, yakiwemo Buguruni, Vingunguti na Tandale, ili kujenga maghorofa na kupendezesha jiji hilo.
Ana bawasiri nini?
kwenye mambo ya regulations tunafanya vibaya sana, hivi kwasasa tatizo la pikipiki kutofata sheria za barabarani leo hii ukiziuliza mamlaka, tatizo lilianza wapi na way forward ni nini, na wanajifunza nini kwenye jambo hilo, unadhani utapata majibu ya kueleweka?Hakuna kitu kinacho niuzi ndani ya Jiji la Dar es salaam kama slums na hawa machinga kupanga biashara hovyo.Mpaka Najiuliza hata Kwa PK tumeshindwa kuiga ?
Unajua sababu aliyosema ya kuvunja Tandale,Vingunguti na maeneo kama hayo? Oysterbay haina hilo tatizo. BTW Oysterbay sasa hivi wanajenga sana maghorofa kiasi cha kuharibu plan yake halisi. labda kama hupajui.Kwa hiyo kubomoa nyumba za wavuja jasho na kujenga maghorofa ya matajiri ni maendeleo ???
NONSENCE
Mbona huko Oysterbay hawataki kujenga maghorofa kama ndio maendeleo?
chalamila aanza na kariakoo kuanzia sasa barabara za kariakoo ziwe nyeupe, tuangalie utekelezaji sasaCCM huwa hawawezi kushugulika na mambo magumu yanohitaji kutumia akili kubwa na usimamizi thabiti wa sheria, mfano suala la Wamachinga kufanya biashara barabarani limewashinda kabisa kutatua kabisa.
YahMiaka 20 Baadaye kama bado watakuwepo watakuja kusema hayo maeneo nayo yabomolewe yajengwe maghorofa.
Bonde la msasani pavunjwe,kinondoni shamba pavunjweUnajua sababu aliyosema ya kuvunja Tandale,Vingunguti na maeneo kama hayo? Oysterbay haina hilo tatizo. BTW Oysterbay sasa hivi wanajenga sana maghorofa kiasi cha kuharibu plan yake halisi. labda kama hupajui.
Unapajua pale Ali bin Said? Upande mmoja Obay ukivuka barabara slum za Namanga.Bonde la msasani pavunjwe,kinondoni shamba pavunjwe
Pia sehemu zote hizo ni prime area
Maeneo hayo hayawezi kuwa ovyo ovyo
Ova